Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

n

nikikuita empty set wala sitokuwa nimekosea........maana hata hilo uliloandika nalo ni povu

nikupe pole sana ila kausha tuje hapa baada ya dk 90 ili kutoa pongezi au kufunga turubai la msiba .......uzuri wa mimi sio mnafki mkishinda nitakuja hapa kuwapa hongera zenu
Hongera za kinafiki hatutaki
 
hii gemu ya leo Mo Salah acheze katikati na magoli yatakuja mengi tu....

leo huyu Mane finishing yake asituangushe jamaa..

the players need to be clinical..

Kuna uwezekano akamchezesha Salah pembeni, big games nyingi anakuwa anamweka pembeni.

Sijui kwa leo itakuwaje, ila nina imani sana.

Ukiacha enzi za Torres kwa mara nyingine tena naenda kuangalia game ya Man Utd vs Liverpool nikiwa sina wasiwasi.

Ingawa hizi ndo huwa zinaleta shock, njmejiandaa kwa chochote hata hivyo.
 
Biggest derby in world football..

kwenye carpet ya Anfield

Mbele ya countless Reds from different parts of the world

The game of legendary managers, players, stadiums, cities and supporters

The game which defines the symbol of English Premier league

The most watched football match on planet earth.

The game of two REDS

imagine being a fan of English football and not be a part of these two Clubs.

Bring on the NORTH-WEST DERBY.
 
hii gemu ya leo Mo Salah acheze katikati na magoli yatakuja mengi tu....

leo huyu Mane finishing yake asituangushe jamaa..

the players need to be clinical..

Maranyingi watu wanapocomplain kuhusu finishing ya Mane I'm pretend to be a Neutral Coz Sikumbuki Kuwa Kuna Season ambayo Mane alikuwa ni good Finisher.

In all past Seasons Sadio Mane hakuwahi Kufika goli 15 per season, hii inaonesha Mane sio good Finisher tokea zamani.

So, siwezi kwasasa kumlaumu Mane katika kumalizia mipira kwasababu tokea zamani ndiyo ucheazaji wake wa kupoteza nafasi.
 
Tunahitaji mtu wa style yake kwa siku ya leo hasa kama mashetani watawachezesha Mata na pogba pale kati, machuma chuma yetu yatapata wakati mgumu kuwazuia hao niliowataja
For what I know kuhusu Klopp! Keita will be a Benchwarmer
 
Tunahitaji mtu wa style yake kwa siku ya leo hasa kama mashetani watawachezesha Mata na pogba pale kati, machuma chuma yetu yatapata wakati mgumu kuwazuia hao niliowataja

Kuna Herrera pia nakumbushia tu kung fu zao na Pogba
 
Hapo mchecheto ni Lovren pekee tu! Lakini mbele ya Lovren akikaa Gini na kuliani kwake akiwepo Milner, kidogo itapunguza risk za huyu jamaa.
Jamaa mapepe ni balee ile juzi kuingia tu kaacha kuokoa mikono kwa refa dah ubora wa kipa ulituvusha siku ile sio siri

Uwepo wa mchezaji mbovu uwanjani inapunguza uwezo wa wachezaji wazuli uwanjani na kinyume chake hivyo tutegemee chochote hapo
 
Lovren yuko vzr tu labda ni hofu yako tu juu yake. Mm nakuhakikishia Lovren ni beki wa maana sana
Ni mchezaji mziri sanaaa ila ana mchecheto mchunguze utagundua

Hendo nae anakaba sawa ila hajengi team yani kama kiungo hutoa pasi haraka bila kujali kuna upande ulio bora zaidi kuupeleka huo mpira.
 
The best you can do ni kuclick ignore button, hutaona alichoandika.
Naomba unielekeze hiyo ignore button, huwa ni msomaji bila kuandika ktk jukwaa hili.Ila kwa kutokujua soka na ushabiki maandazi usio na tija kwa huyo bwana mdogo naandika kwa mara ya kwanza ili nijue namna ya kumkwepa
Anatujazia page badala ya kwenda kujaza kule kwenye jukwaa lake la timu anayoishabikia
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom