OllaChuga Oc
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 21,961
- 25,313
Ni bora ungetoka mapema ..maana unapokwenda ni balaa zaidiYani hata kama tutatolewa kwa aibu next round basi nitaridhika kuliko tungekwenda FUTUHI
Kwa sasa Liverpool kuipeleka FUTUHI Ni kuidhalilisha timu
kisu butu uliambulia kutoa draw tena kwako nyumbani na ilikua tia maji tia maji....kweli mmeishiwaKesho Man united atanichinjia jogoo tena na kisu butu...
Tutamnywa supu bila kumnyonyoa..
Poa nawewe tafuta kidume kikugonge kama una wivu sana.Kesho mnagongwa
angalau hapa sasa taratibu umeanza kukumbali kwamba tunaingia 8 bora maana 16 bora siwezi kutana na timu ya Uingereza hivyo hao Manure tukutane 8 bora endapo atavuka 16 bora...Ni bora ungetoka mapema ..maana unapokwenda ni balaa zaidi
Kama SSC Napoli anakutoa jasho unategemea nini kama ukikutana na MAN UNITED, FC Juventus..
Salama mkuuHabr yako mkuu
Napoli tushamtoa habari unayo lkn?
Wao ndo walotafuta draw sio sisi ..kisu butu uliambulia kutoa draw tena kwako nyumbani na ilikua tia maji tia maji....kweli mmeishiwa
Tunza maneno mkuu usiyamalize yote.Salama mkuu
Ulipata tabu sana kwa SSC Napoli sasa kwa Man United jiandae..
Umehama Chelsea mzee Ollagachu?Kesho Man united atanichinjia jogoo tena na kisu butu...
Tutamnywa supu bila kumnyonyoa..
unahangaika sana ndugu na sisi maana ulishatutabiria kila matokeo msimu huu mpaka unaisha...Liver hii ,soon tutaikuta nje ya top 4
Uzuri kwasasa mtapata matumain ,ila mwisho mtakapopiga mahesabu mtajikuta mna ZERO TROPHIES
Kipigo kipo pale pale ..Mourihno lazima atuchinjie jogoo kesho..
Salama mkuu
Ulipata tabu sana kwa SSC Napoli sasa kwa Man United jiandae..
Tokea August hamchoki kila Match Day mnakuja hapa kabla ya mechi kuwanga Liverpool ifungwe ila baada ya mechi mnajificha kwenye mahandaki yenu.Wao ndo walotafuta draw sio sisi ..
Sasa kesho watakuja chukua point tatu apo Anfield.. Hiyo hata J. Klopp anajua
Klopp anajua hawa wanakujaga kupaki treni walau watoke na pointi moja..Wao ndo walotafuta draw sio sisi ..
Sasa kesho watakuja chukua point tatu apo Anfield.. Hiyo hata J. Klopp anajua
Clyne wanaangalia khali yake ila aliumia tena kama wiki 2 zilizopita mazoezinihivi Clyne majeruhi au kiwango ndio kimekwenda na maji hata kua benchi au kupata namba wakati kama huu kuna majeruhi pia ni shindaa...
Klopp angewauza hawa Lovren, Moreno, Clyne, Lallana, Markovic, Karius n.k ili asajili real squad players wangetufaa sana esp mabeki yupo ndogo fulani Gibson pale Middle walivykua EPL niliona anacheza vzuri sana..
Kama hawa Ma jnr wameiva kuziba izi pengo itakua poa sana, mzungo wa pili natarajia ndogo Rhian atakua full fit na aanze kupata angalau dakika EPL..
sio pep ni frank.......taratibu D, hao Barca wakiwa na Gurdiola wao walichezea kichapo kutoka kwa wakali Majogoo nje ndani sikumbuki vyema nadhani ni 2007 vile,...
ila duuh ile Barca ilikua noma sanaaaaa I salute the guys naamini ingekuwepo hii aa wengi tungetetemeka
Tumsubiri Harry Wilson anaweza rudi mwakani akitoka kwa LampardMkuu huyu lallana sidhan kama atauzwa maana waingereza na klopp wanamrate sanaa kumbe kashakua mzoga tyr
Mimi wafuatao napendekezwa wangeuzwa
-karius
-clyne
-lallana
-orig
-hendo pia(ingawa kaongeza mkataba)
-
Watuletee vijana wa kazi hata wa 4
Beki2
Maforward2
Still Fekir ni best option aisee jamaa anaujua sanaaWakuu hii ishu ya dembele kutaka kuondoka barca nadhani liver tungeliwahi hili donge tungekuja kuwa na front kali sanaa kuwahi kutokea hii dunia
Salah angerud kati kama 9 dembele7 na mane11 pembeni
Boby arud 10
Matip niliona umeumia atakuwa ashapona?
Also vipi kuhusu Ox, I miss his touch!
Wilson should be back aisee[emoji360] The Five key points from Jurgen Klopp's press conference
[emoji778] The "solution" to injury problems
[emoji778] Klopp's perfect response to Pogba questions
[emoji778] Clyne ready for action
[emoji778] The one reason why Wilson would be recalled
[emoji778] Transfers are unlikely
Mkuu Fekir sidhan kama itawezekana maana mpk sasa Mane,boby,mo salah wameongeza mikatabaStill Fekir ni best option aisee jamaa anaujua sanaa
showing VVD who is th boss wt th armband man