Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

hivi ndio vinawaponza...
IMG-20181212-WA0014.jpeg
 
Ila klopp ana roho ngumu na Imani kubwa sana kwa combo ile ya Leo, na mahitaji ya mechi husika
almost many of us we were like its ok bana we are ready 4 anything to be happened tu.
 
Huyu si kataka kuchomesha mara mbili

MOT anatakiwa awe VVD au Beker
Kataka kuchomesha ndio nini, mashambulizi mara zote yalikua yaanzia upande wake kijana ni hodari sana
 
Jamaa ana gubu kama za kina mama, akishikilia kitu anakomaa nacho hata umweleweshe vipi hakwelewi.

Matter of fact, hatukutakiwi kuwa kwenye position hii ya kutafuta nafasi last minute kama siyo makosa ya Klopp. Asingewadharau Red Stars tungeshinda na hivyo tungebaki tunatafuta droo tu.

Sasa kwa kuingia 16 bora tayari tunalazimishwa kwamba he is a World Class Manager!

He needs to prove it by winning EPL this season. Otherwise he is just average.

Trash!
Blah blah sijui Klopp hayupo hata close kwa Pep sasa EPL tunaongoza!
Blah blah Napoli ni wazuri sana sasa wapo OUT na sio tu OUT bali Liverpool ilikuwa bora uwanjani toka dakika ya kwanza!
Sijui tungemfunga Red Star sijui tungefanya nn who cares?Tulitakiwa tuvuke round na tumevuka hayo yako ni porojo tu!
Klopp OUT
Klopp OUT
 
EPL tunaongoza,mwaka jana Pep hakupokonywa uongozi toka round ya pili hadi anachukua EPL February
Sasa EPL tunabadirishana kwenye kuongoza na itakuwa hivi mara nyingi sana!
Bado Klopp hayupo hata close kwa Mungu-Mtu wenu Pep?
 
Team imefanikiwa kupita kwenye hatua ngumu after 3 losses in row kwenye away grounds

instead of celebrating with your fellow reds for winning a great match which seemed impossible and difficult to win unakuja na subliminal za kipuuzi kama hizo,

it seems unaangaliaga match kwaajili tu ya after match - reactions za humu ndani, and i guess you have never celebrated ushindi wa team yako properly.

grow up you stupid man.

Klopp is NOT a great Manager
Hayupo hata close kwa Pep
BVB walituuzia fwamba
Haya ni maneno yenu sio mm,tunao mtetea Klopp hapa tunafahamiana,ww na wenzako mnakuwa Liverpool team inapo fanya vyema tu!
Mungu wenu Pep kapoteza pia uongozi wa EPL kwa kocha ambaye sio world class manager!
Ahahaha !
 
Jamani wito wangu ni ule ule tuzidi shikamana kutetea team yetu no matter matokeo yakoje,umoja ni nguvu!
Liverpool is my team and Red is my Jersey!
Love you Liverpool
Bye!
 
Klopp is NOT a great Manager
Hayupo hata close kwa Pep
BVB walituuzia fwamba
Haya ni maneno yenu sio mm,tunao mtetea Klopp hapa tunafahamiana,ww na wenzako mnakuwa Liverpool team inapo fanya vyema tu!
Mungu wenu Pep kapoteza pia uongozi wa EPL kwa kocha ambaye sio world class manager!
Ahahaha !

Ukitaka kujua kwamba you talk nonsense, ni hapo unapoandika pumba za eti BVB walituuzia manager, where on earth are managers sold?

I feel pity kuchangia jukwaa moja na mtu mwenye thinking ya kijinga kama yako, eti tunashabikia team moja!
 
Ukitaka kujua kwamba you talk nonsense, ni hapo unapoandika pumba za eti BVB walituuzia manager, where on earth are managers sold?

I feel pity kuchangia jukwaa moja na mtu mwenye thinking ya kijinga kama yako, eti tunashabikia team moja!
Ni wenzako hao ndiyo waliandika hapa kama
klopp si lolote siku tumefungwa na Red Brigade,wakaongeza pia kuwa BVB walimuachia aende walipo gundua kuwa ni fwamba,wakasema pia Liverpool haiwezi pita kundi lake!
Mnaitukana team ikifanya vibaya kisha mnajifanya mpo na team ikifanya vyema!
Hapa ambao tupo na team muda wote tunajuana
 
My worries
Vvd suspended next round, and all potential opponents wanatisha
Gomez, Trent, matip,clyne, out injured againts manure... Tumeanza kuwa hit na December curse
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom