View attachment 967871
Tena Kwa Bahati mbaya Liverpool ndiyo Timu ya Mwisho Duniani Kuchukua Kombe la Champion League Original likawa lake Mali Yake Kwani Baadaya Liverpool kulichukua Mwaka 2005 UEFA wakabadilisha Sheria hiyo mwaka 2009 na Kufuta Kipengele cha Timu ikichukua Mara 3 mfulizo au Mara 5 kwa Vipindi tofauti kuwa linakuwa lake.
Kwahiyo sasahivi Hata Timu ibebe Mara 10 mfululizo itaishia Kupewa Kombe la Bandia tu ambalo limetaka kufanana na Original.
Mpaka sasa Ni Wababe Watano tu Ambao Wamepewa Kombe Halisi la CL kuwa lakwao Mali yao ambao Ni:
√ Real Madrid, after their sixth title in 1966.
√ Ajax, after their third consecutive title in 1973.
√ Bayern Munich, after their third consecutive title in 1976.
√ Milan, after their fifth title in 1994.
√ Liverpool, after their fifth title in 2005.
So, waliobakia wanabeba Copy tu ya Kombe.
Na Wengine Kina Ass-anal wanaishia Kula Kwa Macho.