konge
JF-Expert Member
- Sep 1, 2014
- 6,622
- 41,331
Yani huyu hawezag kujibu bila kusema tangu/tokaNami nakuswalika je unafurahia nini kwenye timu yako toka 2011?
Una tofaut gan na totenham?

Kwahiyo unanipangia auYani huyu hawezag kujibu bila kusema tangu/toka![]()
![]()
Jibu unachoulizwa. Tangu, toka, tangu tokaKwahiyo unanipangia au
Kila comments yake hayakosi hayo maneno TANGU ,TOKA ,LINI TOKA,LINI ,LINI😅😅😅😅Jibu unachoulizwa. Tangu, toka, tangu toka
Kila comments yake hayakosi hayo maneno TANGU ,TOKA ,LINI TOKA,LINI ,LINI😅😅😅😅
Mkuu,katika mapenzi ya mpira unaweza ukaipenda team underdog, ( Croatia ilikuwa underdog lakini ilipiga mpira mwingi).samahani sana mkuu kama nitakuwa nimekukosea......kwakusema haki hii ndio sababu kubwa iliyonifanya mimi niwe mshabiki nguli lia lia wa ARSENAL ila hii hoja kwa upande wangu sawa maana nimeishuhudia ARSENAL ikiwa katika mafanikio kwa muda mrefu + sex football ikicheza kandanda safi la kuvutia na rekodi tamutamu ya UNBEATEN SEASON...................ikichukua EPL takribani mara 3 na nikiweka rekodi katika FA CUPs pia na ikiwa katika nafasi za juu(big4) kwa muda mrefu sana.
Hofu yangu inakuja kauli hiyohiyo ukiitumia kwa upande wako kwangu inanipa ukakasi maana liverpool haikuwa na wakati mzuri katika miaka ya hivi karibuni labda uniambie kuwa umezaliwa katika miaka ya 1960s mkuu hapo sitabisha maana utakuwa umeishuhudia liverpool ikiwa katika wakati bora sanaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa..............
Analysis ya Mou ni saikolojiko. Anajaribu kumtoa klop kwenye determination take. Lskini hii itamtia hamasa zaidi Klop na team nzima ya Liverpool.Siku moja kabla ya mechi kubwa kati ya Liverpool dhidi ya Manchester United, kocha Jose Mourinho amerusha kijembe kwa mpinzani wake Jurgen Klopp. Kijembe hiki hakika kina ujumbe mzito utakaochoma nafsi za kambi ya Liverpool.
Mourinho amewaambia Klopp na Liverpool pamoja na kucheza vizuri na kupata matokeo hivi sasa mwisho wa siku hukumu ya mafanikio yao itapimwa kwa idadi ya makombe watakayobeba.
Klopp tangu amefika Liverpool amefikisha miaka 3 akicheza fainali 2 huku akipoteza fainali zote 2 na hajatwaa taji lolote mpaka sasa. Akihojiwa na waandishi wa habari kabla ya mechi yao dhidi ya Liverpool jumapili, Mourinho aliulizwa kama makombe yana umuhimu kwenye soka. Alijibu hivi…
Inategemea na namna unayaendea mashindano. Nafikiri mataji yana umuhimu hasa kama uko kwenye nafasi ya kuyashindania na umeshaweka lengo la kugombania mataji.
Wakati mwingine watu wanakwepesha ukweli jambo ambalo nafikiri sio sahihi. Kama una nafasi ya kuchukua kombe, inajulikana wazi na hakuna pa kujificha. Yakupasa kupambana, kuonesha njaa na hamasa ya kuchukua makombe.
Mkuu hizi kauli mpk sasa zishawatafuna watu wengi akiwemo NEYMARAnalysis ya Mou ni saikolojiko. Anajaribu kumtoa klop kwenye determination take. Lskini hii itamtia hamasa zaidi Klop na team nzima ya Liverpool.
Joe asishangae kupata aibu Anfield. Inaweza kuwa ufunguo wa kutokea OT.
2005 wakati tunabeba ndoo..mnajisahaulisha kinoma
kabisaaa mkuu hio bei sioni wakimuuza labda wakishaona hakuna anafika dau waamue kumuuza chini ya £100m pengine hapo wanaweza pata mnunuzi...Hii ni budget ya tim kabisa kama Newcastle mkuu £300???
Yaan hiyo bei bora waje makindaki
Hata wa5
biggest game in EPL no doubt...hope th bottle kicking master dont park th train like his two previous visit at Anfield...Klopp's press conference right now:
Klopp: "I don't think we won a lot (v MUFC in the league), so we will try to change that. This week we reached a big target in the CL, we had one day to feel the relief of that. Since yesterday we are back on track. I'm really looking forward to it. Big one." #LFC #MUFC
naona wenye kujua walimwambia aache brazil street futball itamuubua zaidi...Tena baada ya mechi ya Brighton kama sikosei alituambia washabiki wenye pressure tujiandae maana hatabadili mchezo wake.
Baada ya lile fyongo aliacha kabisa zile swaga.
ni wale wale kimtindo maana nimefika fainali mbili Futuhi na Uefa bila kuchukua ndugu,ila wewe unapoteana raundi ya ngapi mkuu?maana na wewe pia ndio walewale tena kwa kizazi hiki nahisi mimi nina afadhali
2005 wakati tunabeba ndoo..mnajisahaulisha kinoma