Rajab_Omar
JF-Expert Member
- May 15, 2016
- 16,480
- 27,185
sawa nimekuelewa na kuhusu kuchangamka kwa jukwaa hilo silipingi kwasababu mimi sehemu ambayo ipo active hunikosi......na la kuzingatia suala la jukwaa kuchangamka ni kama mbio za vijiti kuna muda inakuwa hapa,muda mwingine chelsea,man utd ,ARSENAL FC na kwingineko ila sisi tuna consistancy hilo linafahamika
Yani Ndani ya Misimu 3 Wenger aliwafanya Uzi wenu Mulimuachia McDonaldJr pekee tunampa support sisi wengine!
Huu utitiri wenu uneibuka baada ya kuondoka Wenger then unasema Muna Consistency???
Acha utani bro..
Uzi ambao Ni Most Consistent hapa JF Ni Liverpool pekee Koz Hata timu iwe na msimu mbovu vipi basi hapa utatukuta tu japo kwa kugombana sisi kwa sisi.