residentura
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 9,534
- 13,462
Kwa nini mnapenda kuhamisha magoli!?
Hongereni wakuu ..Man united sio Napoli.
Hongereni wakuu ..Man united sio Napoli.
duh kuna majitu leo yatamsifia klopp kwa nguvu zote hawa ni maplastic fan....ngoja yapoteze yatakuja na slogan yao ya tumepoteza kwa uzembe wa kocha
Another trashiest from anti Hendo!
He’s our Captain and Klopp knows better than you mofos!
Jamani tuachane na migogoro ,namuona rashiford kwa mbali anakuja kuharibu ka record ka kukwepa kufungwa.
showing VVD who is th boss wt th armband manfunny thing about Y'day ni pale Henderson alivyokuwa anamfokea VVD for that foul in the first half, wakati isingetokea in the first place if the midfield ingekuwa compact
VVD was pissed off man
and laughed so hard when Fabinho came on, and hendo started to give him instructions hahaha
Had a good game tho, props to him.
unatafuta kiki naona.......sitoi kiki mkuu pambana na hali yakoKwenye jukwaa la timu yako kuna misumari!?
mimi sio chelsea mkuu........mimi nipo humu sana tu..........Mda sio rafik mkuu
Chelsea wengi wao wameshakimbia humu maana maisha yao yalikua ni ya muda mfupi
muda ni hakimu wa kweli usije ukakimbia weweMimi Nilimwambia huyo kuwa nampa muda mpaka January hapa atajipiga Ban mwenyewe
basi sawaUsitegemee ntakuquote
Nakupa elim humu humu haijalishi kua si mahala pake
Naona umeweka na kitabu cha mwenyez mungu kama dp yako ila inaona umeweka mapambo tu
Lakin nakukumbusha kauli moja humo humo katik kitabu kitakatifu
"Enyi mlio amin semeni kauli zilizo kuwa za sawa(yaa ayuha ladhina amanu taqu llah wakullu kaulan sadida"
ALLAH AKUFANYIE WEPESI
mkuu bardizbah huu ndio uchambuzi unaodai kuwa unanifanya niwe hapa?Are these all your contents you have? →→ Ati mzoefu, wa ujinga tuu, Unajiona unajuua ! Pathetic !
Sorry bro! This is my last comment to quote you! Find your level..
Have a good day.
Mkuu hawa ni mpaka mwisho wa ligi ndio hua wanatulia wakichungulia msimamo wapo Futuhi hivyo usishangae kabisaKwa nini mnapenda kuhamisha magoli!?
kwahapo BVB ndio level yako hao wengine hapana watakuua mapemaaaaaaaaaaaaaaLiverpool's six potential opponents in the Champions League last 16 have now been confirmed.
The Reds booked their place in the knockout rounds of Europe’s elite club competition with a hard-fought 1-0 win over Napoli at Anfield.
Jürgen Klopp’s men finished second behind Paris Saint-Germain in Group C, meaning they will be paired with a winner from one of the other groups in the tournament during the draw at 11am GMT on Monday December 17.
At this stage, Liverpool cannot face PSG or a team from their own country - in this case, Manchester City - so they will meet one of the following six sides next year.
Borussia Dortmund
FC Barcelona
FC Porto
Bayern Munich
Real Madrid
Juventus
Atufanyie wepesi sote, nilikua nahangaika na kiburi cha mgalatia ukaingilia kujifanya hakimu, wakati na wewe kauli yako hukuiangalia. Hata hivyo, Hakim ni 'YEYE' mwenyewe mwenye Kitabu.Usitegemee ntakuquote
Nakupa elim humu humu haijalishi kua si mahala pake
Naona umeweka na kitabu cha mwenyez mungu kama dp yako ila inaona umeweka mapambo tu
Lakin nakukumbusha kauli moja humo humo katik kitabu kitakatifu
"Enyi mlio amin semeni kauli zilizo kuwa za sawa(yaa ayuha ladhina amanu taqu llah wakullu kaulan sadida"
ALLAH AKUFANYIE WEPESI
kwa hyo ata porto atatufunga?kwahapo BVB ndio level yako hao wengine hapana watakuua mapemaaaaaaaaaaaaaa
...kwani wewe una daraja gani ya 'utukufu' mpaka mtu ajipendekeze ili wewe 'umjue' !?Ukiona hivyo jua hana hoja ila ni anataka kuongea tu tumjue
.....anaifuta pale !Jamani tuachane na migogoro ,namuona rashiford kwa mbali anakuja kuharibu ka record ka kukwepa kufungwa.