Don Clericuzio
JF-Expert Member
- Dec 8, 2017
- 16,930
- 40,585
kosa moja so far ile goli ya Leicester tu..na baada ya hapo akawa amekaribishwa rasmi ligi ya Uingereza....
aafu jamaa looks so cool n settled hana papara kabisa ni kazi kazi tu...
This might prove to be th best addition whole of EPL come May 2019.
Nakumbuka wakati wa game ya Brighton tulitoa comments kuhusu jamaa anavyocheza na mpira tukasema inabidi afungishe goli ili akili imkae sawa, next game akafungisha na mpaka leo hajarudia tena zile mbwembwe.