Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

ila wewe unapoteana raundi ya ngapi mkuu?maana na wewe pia ndio walewale tena kwa kizazi hiki nahisi mimi nina afadhali
Huyo ni mropokaji, hajui miaka yote toka 2007 arsenal huwa inapotea hasa November had december huwa haipat point, lakin safar hii november imepita salama

Huyu alitamba sana ,alipokuja emirate walibaki kurukaruka tu
 
naona hukulidhika mpaka ................naona tunakutia homa sana sisi hatutaki historia hapa ni football tu,kifupi kaa na historia yako sijui ulihadithiwa au uliona youtube ila mimi tar 29 nakuja kufunga turubai hapa yaani fujo kama zote
Huyu kufikia tarehe 29 zitakuwa zimebaki point 5, nakuja kumpiga hapo hapo zinabaki 2

Mark my word ,
 
Unaongea utadhan bas liver mna mafanikio yoyote ndan ya miaka 10,

Wakati liverpool toka 2011 hujabeba taji lolote,

Umecheza europa huko unapopaita FUTUHI, unecheza sana na ilifikia hatua hata nafas ya kushiriki hiyo FUTUHI uliikosa,

Liverpool ilifikia hatua ikawa timu ndogo, na mpaka sasa ni timu ambayo haina mashabiki wengi kulinganisha na Man u, arsenal na chelsea,

Unapayuka hapa na kuwatusi THE GUNNERS wakati huna tofauti mbwembwe zako na Totenham anayefurahia KUFUZU UCL tu, bila chochote ,na huku Ligi za ndani ukiambulia Sufuri.

UNAJIVUNIA MAFANIKIO AMBAYO HATA ASTONVILLA AU NORTHGHAM FOREST anayo, lakin kwasasa amebak ni timu ndogo

NA MWAKA HUU MSIPOBEBA CHOCHOTE HATA KOMBE LA MBUZI , natabiri ndio itakuwa mwisho wa mbwembwe za liver maana klopp atasepa, hao kina mane watatafuta klabu nyingine.

Hahaha, inaonekana umeguswa sana jamaa.

Chukulia kama ni utani tu, ninachoshangaa ni vile sisi hatuko concerned na mara ya mwisho tumechukua kombe lini ukilinganisha na jinsi washabiki wa timu zingine walivyo na concern hiyo.

Klopp ni mdogo sana kwa Liverpool na bila yeye Liverpool haifi, walishapita makocha wangapi na mpaka leo timu ipo?

Hao Nottingham Forest unaotulinganisha nao wana Champions League 2, Liverpool ina 5, ninyi mna 0; wana EPL (First Division) 1, Sisi tuna 18 na nyinyi mna 13.

So in that sense, hao ni level yenu, tena Europe wao wako juu yenu kwa mbali sana.
 
Ndo mafanikio yao makubwa UEFA hawa jamaa.
History

Discover the origins and history of the top tier of English football

The 2017/18 season marked the 26th of the Premier League after its formation in 1992.
After numerous discussions with football authorities, players and television broadcasters, the First Division clubs resigned from the Football League in May 1992 and the Premier League was formed with the inaugural campaign starting on Saturday 15 August of that year.
Below, each of the 26 seasons has been charted with the story of how the titles were won and the players who starred. From 2011/12's incredible finale, to Arsenal's "Invincibles", as well as each of Manchester United's record 13 triumphs, find out more about the rich history of the Premier League.

2018-05-06T154028Z_1476770342_RC12D92A8BC0_RTRMADP_3_SOCCER-ENGLAND-MCI-HDD.JPG

In the opening season of 1992/93, 22 clubs competed in the competition, with Brian Deane of Sheffield United scoring the first goal in what was known at the time as the FA Premier League.
The inaugural members of the Premier League were: Arsenal, Aston Villa, Blackburn Rovers, Chelsea, Coventry City, Crystal Palace, Everton, Ipswich Town, Leeds United, Liverpool, Manchester City, Manchester United, Middlesbrough, Norwich City, Nottingham Forest, Oldham Athletic, Queens Park Rangers, Sheffield Utd, Sheffield Wednesday, Southampton, Tottenham Hotspur, and Wimbledon.
Premier League Roll of Honour
2017/18 Manchester City

2016/17 Chelsea

2015/16 Leicester City

2014/15 Chelsea

2013/14 Manchester City

2012/13 Manchester United

2011/12 Manchester City

2010/11 Manchester United

2009/10 Chelsea

2008/09 Manchester United

2007/08 Manchester United

2006/07 Manchester United

2005/06 Chelsea

2004/05 Chelsea

2003/04 Arsenal

2002/03 Manchester United

2001/02 Arsenal

2000/01 Manchester United

1999/00 Manchester United

1998/99 Manchester United

1997/98 Arsenal

1996/97 Manchester United

1995/96 Manchester United

1994/95 Blackburn Rovers

1993/94 Manchester United

1992/93 Manchester United

A total of 49 clubs have played in the Premier League since its inception, with Arsenal, Chelsea, Everton, Liverpool, Man Utd, and Spurs participating in every campaign to date.

yaani manure kachukua hili kombe mara 13 nyinyi mlikuwa wapi wakati huo au mlikuwa likizo hamshiriki ligi?mmeshindwa na kina leicester na blackbur ndio maana tunawafananisha na spurs na kina everton huko
 
Wewe EPL una mafanikio gani?

Unawezaje kushupaza shingo, ilhali timu yako toka 2011 nikiwa kidato cha sita ,ndio mara ya mwisho liver kubeba taji ,tena likiwa CARABAO CUP?

Au unafurahia kufuzu UCL kama totenham?na kuwa msindikizaji kwenye FA CUP, EPL ,?

Twende hatua kwa hatua; Je unakubali au unakataa kuhusiana na ninyi kuwa the highest achievement in CL ni hiyo final ya 2006?

Ukijibu hilo niulize maswali yako.
 
kipi

kipindi munaokoteza virekodi vyenu uchwara basi mutuwekee na ile rekodi yenu ya kukata na shoka kuwa LIVERPULU HAIKUWAHI KUCHUKUA EPL
Anajifurahisha, na hawa wamerud siku hiz ,liver ilipoteza mashabiki ,hata hawa waliopo sasa watu huwa wanajiuliza wametokea wapi

Hivi mara ngapi liver hata uefa ambayo anaiita futuhi kushiriki ilikuwa msala,

Toka mwaka gan hajui any trophy?

Anachofurahia sasa hivi, ni huku kushiriki UCL , kama totenham ya sasa, bas kitu ambacho ni upuuzi maana hata lig za ndan hakuna lolote

Kama sasa hiv, carabao kashatolewa

EPL wanaona kama wameshalibeba ,wakat ukweli wanaujua , asipobeba city ,bas kuna arsenal na chelsea

Liver mimi sina wasiwasi nao kabisa,

Soon wanaporomoka hapo juu, kama huamini nakuhakikishia tunapoenda anfiled tarehe 29 either tubaenda kupunguza point had 2 au tunaenda kumtoa kabisa .

Mark my word
 
Napenda mshinde ila mna chonga sana

Matokeo yoyote sawa tu

Mkishinda shangwe, mkipigwa shangwe,mkisare shangwe tu

Uzuri man city kashasimamishwa , hakuna wa kujifanya UNBEATEN ,hiyo itachukua miaka 100

Wewe liver hatuna wasiwasi na wewe, hata wolves anakutosha

Nadhan sasa UNBEATEN YA INVINCIBLE INAWEZA KUCHUKUA HATA MIAKA 100 NA ITAVUNJWA NA ARSENAL WENYEWE, IWAPO ITATOKEA MIAKA IJAYO HAPA KARIBUNI
Nimesoma neno kwa neno, mstari kwa mstari sijaelewa hata moja, loh
 
Unaongea utadhan bas liver mna mafanikio yoyote ndan ya miaka 10,

Wakati liverpool toka 2011 hujabeba taji lolote,

Umecheza europa huko unapopaita FUTUHI, unecheza sana na ilifikia hatua hata nafas ya kushiriki hiyo FUTUHI uliikosa,

Liverpool ilifikia hatua ikawa timu ndogo, na mpaka sasa ni timu ambayo haina mashabiki wengi kulinganisha na Man u, arsenal na chelsea,

Unapayuka hapa na kuwatusi THE GUNNERS wakati huna tofauti mbwembwe zako na Totenham anayefurahia KUFUZU UCL tu, bila chochote ,na huku Ligi za ndani ukiambulia Sufuri.

UNAJIVUNIA MAFANIKIO AMBAYO HATA ASTONVILLA AU NORTHGHAM FOREST anayo, lakin kwasasa amebak ni timu ndogo

NA MWAKA HUU MSIPOBEBA CHOCHOTE HATA KOMBE LA MBUZI , natabiri ndio itakuwa mwisho wa mbwembwe za liver maana klopp atasepa, hao kina mane watatafuta klabu nyingine.
Mkuu nadhani umelewa hapa sio bure
Chelsea imzidi washabiki liverpool labda hapa tanzania lkn sio duniani
 
Kwakweli Klopp ni Mtu wa pekee katika huu ulimwengu wa Soka ambaye unapaswa uwe makini sana ili uweze kumfahamu amekusudia nini kwa kile anachokiongea.

Yani majibu yake hayako straight hata siku moja ya kuwa aseme YES or NO.

For example alipoulizwa about signing New defender mwezi wa January and calling back Harry Wilson kutoka Derby County ambako yupo kwa Mkopo alijibu:

“Our situation is like this; if you would have asked me two weeks before if we’ll do anything in the transfer market, I would have said, ‘Probably not.’

“Now we have two centre-halves left. Will we do something? It’s not really likely because they [Gomez and Matip] are not out for a long time. But we have to judge it anew.

“And that’s exactly the same with Harry. If something happens in an offensive wing position, why should I say today, ‘100 per cent we will not do it’?
 
Unaongea utadhan bas liver mna mafanikio yoyote ndan ya miaka 10,

Wakati liverpool toka 2011 hujabeba taji lolote,

Umecheza europa huko unapopaita FUTUHI, unecheza sana na ilifikia hatua hata nafas ya kushiriki hiyo FUTUHI uliikosa,

Liverpool ilifikia hatua ikawa timu ndogo, na mpaka sasa ni timu ambayo haina mashabiki wengi kulinganisha na Man u, arsenal na chelsea,

Unapayuka hapa na kuwatusi THE GUNNERS wakati huna tofauti mbwembwe zako na Totenham anayefurahia KUFUZU UCL tu, bila chochote ,na huku Ligi za ndani ukiambulia Sufuri.

UNAJIVUNIA MAFANIKIO AMBAYO HATA ASTONVILLA AU NORTHGHAM FOREST anayo, lakin kwasasa amebak ni timu ndogo

NA MWAKA HUU MSIPOBEBA CHOCHOTE HATA KOMBE LA MBUZI , natabiri ndio itakuwa mwisho wa mbwembwe za liver maana klopp atasepa, hao kina mane watatafuta klabu nyingine.
Sasa kumbe kuna mafanikio aliyapata ASTON VILLA ww mpka leo hujayapataaa
 
Nimesoma neno kwa neno, mstari kwa mstari sijaelewa hata moja, loh

Ni ngumu kuelewa kwa sababu anatoka hiki anarukia hiki, kabla hata cha kwanza hakijaisha.

Ni kama anajaribu kutafuta comfort zone, ndo maana tunazungumzia CL analeta unbeaten, tunazungumzia Premier League anafanya cut-off ya 1992 as if huko nyuma hakukuwa na ligi, jina tu ndo limebadilika.
 
Dembele hahitaji kuja hapo ukameni

Dembele nia yake ni kucheza gunners kwa rafiki zake kina AUBA ,MICKy, afurahie mpira mzuri au sex football

Nia yake ni hiyo, na akija liver hatadumu, atakuwa mpitaji tu kama anavyopita hapo barca, lengo lake ni kuungana na wana gunaz, na kukutana na msaka vipaji bwana. Sven ,aliyegundua kipaji chake.

Sidhani kama atakubali kuja hapo UKAMENI, atafata nyayo zile zile za ALEXIS SANCHEZ
Alie kuambia nani au ndo utabiri wako huu

Arsenal ni timu yenye majonzi mengi sanaaa kwan ww tangu hyo 2011 unamaliza form 6 ulibeba kombe gan tofauti na hayo ya carabao na FA

Hunamafanikio yoyote thus y mpk sasa haupo kwenye list ya Giant club

Piga kelele nying lkn naongoza ligi
Mshindani wa Liverpool ni man city tu kwenye EPL ww na Chelsea mtulie kwanza vitimu ambavyo akiumia mchezaji mmoja mnapoteana
 
Nami nakuswalika je unafurahia nini kwenye timu yako toka 2011?

Una tofaut gan na totenham?

Sina ninachokifurahia, ndo maana toka kipindi hicho makocha wanakuja na kuondoka, akichemka anapisha wengine.

Hata huyu aliyepo kazi yake ni kuleta makombe, na ana msimu huu na ujao kudeliver.

Wewe ukinilinganisha na Tottenham it's okay kama unapata faraja, lakini kimoyo moyo level zangu unazijua, ni Man Utd pekee anayeweza kusimama locally akasema yeye ni top kwangu, hao wengine ni level zenu, ila mkiona kwamba kutulinganisha nao inakupeni faraja sawa.
 
Mkuu nadhani umelewa hapa sio bure
Chelsea imzidi washabiki liverpool labda hapa tanzania lkn sio duniani

Tanzania Chelsea hana washabiki wengi kuipita Liverpool, fanya tu mfano humu JF, hesabu mashabiki waliokoment kuanzia ligi inaanza mpaka mwezi mmoja baadae bila kuwarudia. Utaona namba halisi.

Then angalia kwenye WhatsApp groups kama za ofisini, au angalia maofisini utaona Chelsea ni wa kutafuta.

Man Utd na Arsenal ni sahihi.
 
Ni ngumu kuelewa kwa sababu anatoka hiki anarukia hiki, kabla hata cha kwanza hakijaisha.

Ni kama anajaribu kutafuta comfort zone, ndo maana tunazungumzia CL analeta unbeaten, tunazungumzia Premier League anafanya cut-off ya 1992 as if huko nyuma hakukuwa na ligi, jina tu ndo limebadilika.
Alisoma form6 huyo

Hata kupanga hoja kazi kwake

Cha muhimu ni kuacha Aropoke ikiwezekama

Tuache kumquote
Maana ukimquote anaona kaandika kwel kwel au anatukera kweli kwel

Kumbe anaboa kwenye uandishi wake wenye ukakasi ndani yake
 
Alie kuambia nani au ndo utabiri wako huu

Arsenal ni timu yenye majonzi mengi sanaaa kwan ww tangu hyo 2011 unamaliza form 6 ulibeba kombe gan tofauti na hayo ya carabao na FA

Hunamafanikio yoyote thus y mpk sasa haupo kwenye list ya Giant club

Piga kelele nying lkn naongoza ligi
Mshindani wa Liverpool ni man city tu kwenye EPL ww na Chelsea mtulie kwanza vitimu ambavyo akiumia mchezaji mmoja mnapoteana
mkuu MUNGU anakuona kabisaaaaaaaa hebu jibu swali hili ili twende sawa....

Je, toka uzaliwe ulishawahi kushuhudia liverpool ikibeba EPL?
 
Alisoma form6 huyo

Hata kupanga hoja kazi kwake

Cha muhimu ni kuacha Aropoke ikiwezekama

Tuache kumquote
Maana ukimquote anaona kaandika kwel kwel au anatukera kweli kwel

Kumbe anaboa kwenye uandishi wake wenye ukakasi ndani yake
mkishikwa mnakimbilia kuacha kumquote mtu...........dah sijui lini mtabadilika nyie viumbe
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom