Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Yaan spurs kufungwa na Arsenal tabu imeamia kwenye jukwaa letu huku
Sasa sijui angempiga manchester city na liverpool cjui ingekuaje humu

29december nawahakikishia kiama
Mtatuachia jukwaa tu
 
Sina ninachokifurahia, ndo maana toka kipindi hicho makocha wanakuja na kuondoka, akichemka anapisha wengine.

Hata huyu aliyepo kazi yake ni kuleta makombe, na ana msimu huu na ujao kudeliver.

Wewe ukinilinganisha na Tottenham it's okay kama unapata faraja, lakini kimoyo moyo level zangu unazijua, ni Man Utd pekee anayeweza kusimama locally akasema yeye ni top kwangu, hao wengine ni level zenu, ila mkiona kwamba kutulinganisha nao inakupeni faraja sawa.
kiukweli na kimantiki hilo unalolizungumza wewe lilikuwa sahihi zaidi ya miongo miwili nyuma lakini sio kwasasa mkuu,kiukweli ukitaka kujitofautisha na hao kina spurs yakupasa ubebe EPL msimu huu (na mwenyewe unajua fika kuwa huwezi) kinyume na hapo wewe hata leicester city na blackburn rovers huwapati kwa sasa maana hao wana EPL moja moja wewe huna please usilete mambo yako ya cut off tunazungumzia EPL na sio kitu kingine
 
Nadhani ungeniuliza kwanza umri wangu ingependeza zaid
usikimbie swali na haina haja ya kujiongezea maswali..............ingekuwa mtihani ulishafeli maana unaulizwa vita ya majimaji unaomba uulizwe habari za berlin comference,halafu nyinyi ndio wepesi wa kuwatoa akili wenzenu dah
 
BBC African football of the year.
Mo Salah retain his prize won last year.
Screenshot_20181214-213804_All Football.jpeg
 
Yaan spurs kufungwa na Arsenal tabu imeamia kwenye jukwaa letu huku
Sasa sijui angempiga manchester city na liverpool cjui ingekuaje humu

29december nawahakikishia kiama
Mtatuachia jukwaa tu
hakuna aliyeongelea juu ya ushindi dhidi ya spurs mkuu hayo unayaleta wewe
 
Premier League Roll of Honour
2017/18 Manchester City

2016/17 Chelsea

2015/16 Leicester City

2014/15 Chelsea

2013/14 Manchester City

2012/13 Manchester United

2011/12 Manchester City

2010/11 Manchester United

2009/10 Chelsea

2008/09 Manchester United

2007/08 Manchester United

2006/07 Manchester United

2005/06 Chelsea

2004/05 Chelsea

2003/04 Arsenal

2002/03 Manchester United

2001/02 Arsenal

2000/01 Manchester United

1999/00 Manchester United

1998/99 Manchester United

1997/98 Arsenal

1996/97 Manchester United

1995/96 Manchester United

1994/95 Blackburn Rovers

1993/94 Manchester United

1992/93 Manchester United

A total of 49 clubs have played in the Premier League since its inception, with Arsenal, Chelsea, Everton, Liverpool, Man Utd, and Spurs participating in every campaign to date.

yaani manure kachukua hili kombe mara 13 nyinyi mlikuwa wapi wakati huo au mlikuwa likizo hamshiriki ligi?mmeshindwa na kina leicester na blackbur ndio maana tunawafananisha na spurs na kina everton huko
 
Sina ninachokifurahia, ndo maana toka kipindi hicho makocha wanakuja na kuondoka, akichemka anapisha wengine.

Hata huyu aliyepo kazi yake ni kuleta makombe, na ana msimu huu na ujao kudeliver.

Wewe ukinilinganisha na Tottenham it's okay kama unapata faraja, lakini kimoyo moyo level zangu unazijua, ni Man Utd pekee anayeweza kusimama locally akasema yeye ni top kwangu, hao wengine ni level zenu, ila mkiona kwamba kutulinganisha nao inakupeni faraja sawa.
Bas wewe ni fungu la kukosa , toka 2011 kufukuza hao makocha unaambulia SUFURI

halafu unasema wewe level zako ni man u, sawa nakubaliana na wewe ni man u hii ya sasa, maana wewe ulishakuwa sawa na kina TOTENHAM ambao kwao kumaliza wakiwa wamefanikiwa kushirik ucl bas wanaona wajanja,

Mm nakufananisha na spurz ,coz kwasasa sion tofaut , kila msimu mna mbwembwe ,ila mwisho wa msimu ZERO TROPHIES

spurz taji lake la mwisho ni 2008 carabao cup

Liverpool taj la mwisho ni 2011 carabao cup

Toka kipind hiko ,naona mbwembwe tu, na kelele
Screenshot_2018-12-14-21-15-25.jpeg
 
Tanzania Chelsea hana washabiki wengi kuipita Liverpool, fanya tu mfano humu JF, hesabu mashabiki waliokoment kuanzia ligi inaanza mpaka mwezi mmoja baadae bila kuwarudia. Utaona namba halisi.

Then angalia kwenye WhatsApp groups kama za ofisini, au angalia maofisini utaona Chelsea ni wa kutafuta.

Man Utd na Arsenal ni sahihi.
Liver hao mashabik ni wa wapi labda, liver hii si ilipoteza kabisa mashabik na kuwa timu ndogo ,

Takwimu zikizopo Chelsea ana mashabik wengi kuliko liver

Ukweli mchungu ndio huo ,

Hata mabanda umiza kama kuna mechi ya chelsea na ya liver ,ya liver itapigwa kapuni

Takwimu za ujumla chelsea alishaipiku liver kwa mashabiki .
 
Yaan spurs kufungwa na Arsenal tabu imeamia kwenye jukwaa letu huku
Sasa sijui angempiga manchester city na liverpool cjui ingekuaje humu

29december nawahakikishia kiama
Mtatuachia jukwaa tu
Huna timu ya kuifunga arsenal

Kocha wako hana mbinu za kumzid emery master of tactic

Nadhan pale Emirates ulishuhudia kandanda safi ambalo hukulishuhudia

Sasa nakuja hapo anfiled kuchukua point 3
 
Liver hao mashabik ni wa wapi labda, liver hii si ilipoteza kabisa mashabik na kuwa timu ndogo ,

Takwimu zikizopo Chelsea ana mashabik wengi kuliko liver

Ukweli mchungu ndio huo ,

Hata mabanda umiza kama kuna mechi ya chelsea na ya liver ,ya liver itapigwa kapuni

Takwimu za ujumla chelsea alishaipiku liver kwa mashabiki .

Idadi ya washabiki wa Chelsea inaweza kuwa kubwa (labda), hiyo siyo determinant kwangu kwamba Chelsea ni kubwa kuliko Liverpool, vigezo vya kwa nini niliamua kuishabikia Liverpool ni zaidi ya ubora wa msimu mmoja, ni zaidi ya mpira (ni utamaduni).

Liverpool ni timu ndogo kama ulivyosema, sina sababu ya kubishana na wewe kwa sababu sijui ukubwa kwako unaangalia kitu gani, ungenipa tafsiri ya timu kubwa ina vigezo vipi ili tuwe kwenye page moja.
 
Liverpool unadai unailinganisha na timu hizo unazozitaja wewe, it's well and good, sisi haitushushi.

Jaribu kujiuliza, nani anashinda kwa jirani, kwake hakuvutii, kama Liverpool usingekuwa na concern nayo nina uhakika msingeshinda hapa, mngekuwa kwenye Uzi wenu, lakini mko daily hapa kwa sababu mnatambua umuhimu wa Liverpool.

Labda nikuulize swali, leo umepost comments ngapi kwenye uzi wenu vs hapa kwenye uzi wa Liverpool?
hoja dhaifu sana hii ila mimi nitaijibu kama ifuatavyo"tupo hapa katika huu uzi wa loserfool kwasababu sisi kama GUNNERS fans page yetu mpaka sasa ndio page inayoongoza kuwa na kurasa nyingi kuliko nyuzi za timu zote hapa JF ina page zaidi ya 5500s(hii inamaana kwamba uzi wetu unatembelewa sana kuliko nyuzi nyingine) wakati loserfool nyinyi ndio kwanza muna page 2500s(ikiwa na maana kwamba uzi wenu umedoda sasa tunawasaidia kuuchangamsha msiwe wakiwa kama mpo jangwani)

alafu jambo la msingi sisi ni ndugu ,wageni wakifika kwako jitahidi kuwakarimu na sio kuwafukuza........
 
Idadi ya washabiki wa Chelsea inaweza kuwa kubwa (labda), hiyo siyo determinant kwangu kwamba Chelsea ni kubwa kuliko Liverpool, vigezo vya kwa nini niliamua kuishabikia Liverpool ni zaidi ya ubora wa msimu mmoja, ni zaidi ya mpira (ni utamaduni).
samahani sana mkuu kama nitakuwa nimekukosea......kwakusema haki hii ndio sababu kubwa iliyonifanya mimi niwe mshabiki nguli lia lia wa ARSENAL ila hii hoja kwa upande wangu sawa maana nimeishuhudia ARSENAL ikiwa katika mafanikio kwa muda mrefu + sex football ikicheza kandanda safi la kuvutia na rekodi tamutamu ya UNBEATEN SEASON...................ikichukua EPL takribani mara 3 na nikiweka rekodi katika FA CUPs pia na ikiwa katika nafasi za juu(big4) kwa muda mrefu sana.

Hofu yangu inakuja kauli hiyohiyo ukiitumia kwa upande wako kwangu inanipa ukakasi maana liverpool haikuwa na wakati mzuri katika miaka ya hivi karibuni labda uniambie kuwa umezaliwa katika miaka ya 1960s mkuu hapo sitabisha maana utakuwa umeishuhudia liverpool ikiwa katika wakati bora sanaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa..............
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom