Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

nimekuelewa vema ndio maana na mimi nikakwambia kuwa mimi sio shabiki wa chelsea kama ulivyolenga kuwa chelsea wamejificha baada ya mambo kuwa sivyo mimi hata timu ikishuka daraja bado utaniona humu kwani najiamini na naamini pia chama langu
 
Bas karibu mkee

29december unakuja Anfield
Habar ikufikie mkuu hapo ulipo
 
Mkuu hapo king ngwamba alijaribu kahamisha comment ya mtu maana baada ya kupishana baadh ya sehemu

Ila all in all jukwaa letu limechangamka sanaa kuliko mengine nadhan unalifahamu hilo mkuu
sawa nimekuelewa na kuhusu kuchangamka kwa jukwaa hilo silipingi kwasababu mimi sehemu ambayo ipo active hunikosi......na la kuzingatia suala la jukwaa kuchangamka ni kama mbio za vijiti kuna muda inakuwa hapa,muda mwingine chelsea,man utd ,ARSENAL FC na kwingineko ila sisi tuna consistancy hilo linafahamika
 
Wito wangu ni ule ule kwa mashabiki halisi wa Liverpool!
Tuzidi support team hata kama imepoteza mchezo,tuwa support wachezaji wetu bila kuwatusi,tuache wapinzani wetu wawakebehi wachezaji wetu sio sisi wenyewe kudharau our own players!
Jamani wana Liverpool halisi tupo pazuri na mwanga unaonekana!
Wana liverpool halisi tena? Ina maana kuna wana liverpool ukawa? Tusifike uko asee!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom