Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

am not superstitious but it'll will smack a good omen come May 2019 if we remain unbeaten until new year. I believe so.

You are right bro!
Let's pray for quick recovery kwa all our injured players mostly Gomez, Matip and TAA.
 
Oh no! Yani Jamaa Katika Kipindi Hichi ambacho yupo On Fire ndiyo amekumbwa na Mkosi! Huyu Jamaa kweli Hana bahati.

Joel Matip is set to undergo surgery after suffering a fractured collarbone during Liverpool’s 1-0 win over Napoli on Tuesday night.

• Gomez majeruhi
• Matip majeruhi
√ Only Lovren available

Ingelikuwa Bongo watu wangelisema Lovren Kawaronga wenzake
 
Iwapo Matip atapona haraka na kuwa katika Performance hiihii aliyoionesha vs Napoli & Bournemouth, bila shaka Defence yetu itakuwa hivi:

Gomez - Matip - VVD - Robbo

TAA atakuwa katika wakati mgumu Coz atakuwa Ni Backup ya Gomez
 
Possible opponent wetu kwenye Last 16 atatokea hapa:

• Liverpool vs Borussia Dortmund

• Liverpool vs FC Barcelona

• Liverpool vs FC Porto

• Liverpool vs Bayern Munich

• Liverpool vs Real Madrid

• Liverpool vs Juventus

Yani hapo tupambane kiume tu hapana kisichowezekana
 
Jamani wana Liverpool halisi tuzidi shikamana,mambo mazuri yapo njiani!
Hamna haja ya kuitukana team na kocha team ikicheza vibaya sababu hata Mungu-Mtu wenu Pep nae huwa anapoteza mechi!
Tumeingia round ya pili na EPL tunaongoza na mabadiriko ya team unayaona!
Klopp is first class manager na tuna bahati kuwa nae!
Upo sahihi kabisa.mpenzi wa kweli wa liver hamtukanagi kocha wala timu.maana mchezaji anayetaka apangwe hakusajili yeye.wala hakutoa ushauri asajiliwe,wala haishi na mchezaji ajue hali yake.kikubwa kazi yetu ni kuisaport timu kwa kila aina ya matokeo
 
point ya msingi sana hii..........
 
Upo sahihi kabisa.mpenzi wa kweli wa liver hamtukanagi kocha wala timu.maana mchezaji anayetaka apangwe hakusajili yeye.wala hakutoa ushauri asajiliwe,wala haishi na mchezaji ajue hali yake.kikubwa kazi yetu ni kuisaport timu kwa kila aina ya matokeo

Kabla ya Ku-support au Ku-oppose Mtu Kwanza Ungelipitia Comments za Wadau Uone Ni Wapi Tumemtukana Kocha!

Unaweza jikutia Unamsupport mtu kumbe ana-misleading watu kwa Makusudi juu ya Mawazo au Mitazamo ya Watu wengine.

Mkuu hapa Hajatukanwa Klopp.

Tunachosema ni kuwa:

• Klopp si World Class Manager Kama alivyo Guardiola.
• Klopp Kuna Siku anapanga timu kwa Kuwaridhisha Waingereza kutokana na Kile ambacho Scousers wanawachezaji wao ambao wanawapa vipaombele kwa kuwapenda zaidi.

Sasa hapo Je unaweza Kujudge kuwa Tumemtukana Klopp?
 
Wito wangu ni ule ule kwa mashabiki halisi wa Liverpool!
Tuzidi support team hata kama imepoteza mchezo,tuwa support wachezaji wetu bila kuwatusi,tuache wapinzani wetu wawakebehi wachezaji wetu sio sisi wenyewe kudharau our own players!
Jamani wana Liverpool halisi tupo pazuri na mwanga unaonekana!
yah yah yah mkuu Malafyale kama nakuelewa vizuri hapo katika green ni kwamba hiyo ni sawa na mtu anayemdharau na kumdowngrade mwanamke wake aliyemuoa kwa ndoa kabisaaaaaaaaaa unakuwa ni ujinga wa kiwango cha SGR maana watu pia watakudharau na wewe mwenyewe uliyemchagua na kuishi nae maana uliona mnaendana.........

hapo kwenye red naendelea kukuelewa sana tena sana
 
Shabiki nguli wa THE GONO anashinda huku maana uzi wao kule hamna uchambuzi kila siku ni habari za torreira tu

Ok ur welcome

This is liverpool usipo ipenda kwa dhahir kwa mambo yake basi utaipenda kimoyo moyo ama laa itakua inakuumiza tu daily
 
Kabla ya Ku-support au Ku-oppose Mtu Kwanza Ungelipitia Comments za Wadau Uone Ni Wapi Tumemtukana Kocha!

Unaweza jikutia Unamsupport mtu kumbe ana-misleading watu kwa Makusudi juu ya Mawazo au Mitazamo ya Watu wengine.

Mkuu hapa Hajatukanwa Klopp.

Tunachosema ni kuwa:

• Klopp si World Class Manager Kama alivyo Guardiola.
• Klopp Kuna Siku anapanga timu kwa Kuwaridhisha Waingereza kutokana na Kile ambacho Scousers wanawachezaji wao ambao wanawapa vipaombele kwa kuwapenda zaidi.

Sasa hapo Je unaweza Kujudge kuwa Tumemtukana Klopp?
Kwani nani ana haja ya kuona Klopp analinganishwa nani !? Hiyo 'world class coach' leseni yake inapatikana wapi !?
Hatuna haja ya Klopp afanye kama anavyofanya Pep !
Ujuaji ukizidi unakuwa ujinga !
 
Possible opponent wetu kwenye Last 16 atatokea hapa:

• Liverpool vs Borussia Dortmund

• Liverpool vs FC Barcelona

• Liverpool vs FC Porto

• Liverpool vs Bayern Munich

• Liverpool vs Real Madrid

• Liverpool vs Juventus

Yani hapo tupambane kiume tu hapana kisichowezekana
Natamani bahati ituangukie na Real Madrid, tunawafunga Home and Away
 
Kwani nani ana haja ya kuona Klopp analinganishwa nani !? Hiyo 'world class coach' leseni yake inapatikana wapi !?
Hatuna haja ya Klopp afanye kama anavyofanya Pep !
Ujuaji ukizidi unakuwa ujinga !
hahahahahaha nimecheka kwa sauti mkuu ............
 
yah yah yah mkuu Malafyale kama nakuelewa vizuri hapo katika green ni kwamba hiyo ni sawa na mtu anayemdharau na kumdowngrade mwanamke wake aliyemuoa kwa ndoa kabisaaaaaaaaaa unakuwa ni ujinga wa kiwango cha SGR maana watu pia watakudharau na wewe mwenyewe uliyemchagua na kuishi nae maana uliona mnaendana.........

hapo kwenye red naendelea kukuelewa sana tena sana

Ukiwa na akili za kwamba anayekukosoa kwa ajili ya kukurekebisha amekutukana utakuwa na wakati mgumu sana kwenye maisha yako.

Rafiki mzuri ni yule anayekueleza direct mapungufu yako, anayekupa ABCs za weakness na strength, ili kama kuna cha kufanya kazi ufanyie.
 
Shabiki nguli wa THE GONO anashinda huku maana uzi wao kule hamna uchambuzi kila siku ni habari za torreira tu

Ok ur welcome

This is liverpool usipo ipenda kwa dhahir kwa mambo yake basi utaipenda kimoyo moyo ama laa itakua inakuumiza tu daily
hahahahaha hongera kwa kulijua na kulitambua hilo kuwa mimi ni shabiki nguli wa THE GUNNERS na kwa kifupi tu pamoja na mimi kuwa shabiki nguli wa arsenal ila bado sheria na taratibu za JF bado hazinibani kutembelea au kushiriki mijadala mbalimbali inayofanyika katika nyuzi na majukwaa yaliyopo humu,nafikiri lingekuwa ni kosa mimi kuwa hapa basi ningeshapigwa ban kitambo na mods wa JF na suala ambalo hulijui mimi nacheck notifications tu hahahahah alerts zikisoma tu mimi nikiwa na muda na view na kama nina la kusema nasema so wewe huwezi nipangia kwani bando nanunua mwenyewe mkuu.......
 
Ukiwa na akili za kwamba anayekukosoa kwa ajili ya kukurekebisha amekutukana utakuwa na wakati mgumu sana kwenye maisha yako.

Rafiki mzuri ni yule anayekueleza direct mapungufu yako, anayekupa ABCs za weakness na strength, ili kama kuna cha kufanya kazi ufanyie.
ni sahihi kabisa uyasemayo mkuu muhimu vigezo vya ukosoaji vizingatiwe tu.....isitumike lugha ambayo sio rafiki na mazingira yetu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom