ni sahihi kabisa uyasemayo mkuu muhimu vigezo vya ukosoaji vizingatiwe tu.....isitumike lugha ambayo sio rafiki na mazingira yetu
Mda sio rafik mkuuhahahahaha hongera kwa kulijua na kulitambua hilo kuwa mimi ni shabiki nguli wa THE GUNNERS na kwa kifupi tu pamoja na mimi kuwa shabiki nguli wa arsenal ila bado sheria na taratibu za JF bado hazinibani kutembelea au kushiriki mijadala mbalimbali inayofanyika katika nyuzi na majukwaa yaliyopo humu,nafikiri lingekuwa ni kosa mimi kuwa hapa basi ningeshapigwa ban kitambo na mods wa JF na suala ambalo hulijui mimi nacheck notifications tu hahahahah alerts zikisoma tu mimi nikiwa na muda na view na kama nina la kusema nasema so wewe huwezi nipangia kwani bando nanunua mwenyewe mkuu.......
tatizo la washangiliaji wa luzaPULU wengi ni mambumbu maana kuna washabiki wa liverpool hawa sina shida nao nawaelewa vizuri tuThe Gono hamna cha maana an that z a reason
Thus y mnashinda huku
tatizo la washangiliaji wa luzaPULU wengi ni mambumbu maana kuna washabiki wa liverpool hawa sina shida nao nawaelewa vizuri tu
Umbumbumbu umeingiaje hapa?ni sahihi kabisa uyasemayo mkuu muhimu vigezo vya ukosoaji vizingatiwe tu.....isitumike lugha ambayo sio rafiki na mazingira yetu
nikuhakikishie ndugu yangu na nikutoe hofu kabisa mimi sinaga tatizo na mtu endapo atajiheshimu yeye mwenyewe kwanza,kwa mfano mzuri mimi ni shabiki wa arsenal ila ukiniita the gono au as annal usitegemee nikakuita wewe vizuri yaani hapo moja kwa moja na mimi nitakuita majina ya karaha maana yapo mengi tu.Wewe ni moja ya watu wenye lugha chafu humu kwenye majukwaa ya michezo, kama umeliona hilo na umebadilika it's well and good.
soma vizuri post yangu ya mwisho utaelewa umbumbumbu umeingiaje hapoUnajitekenya afuu unacheka mwenyeweUmbumbumbu umeingiaje hapa?
nikuhakikishie ndugu yangu na nikutoe hofu kabisa mimi sinaga tatizo na mtu endapo atajiheshimu yeye mwenyewe kwanza,kwa mfano mzuri mimi ni shabiki wa arsenal ila ukiniita the gono au as annal usitegemee nikakuita wewe vizuri yaani hapo moja kwa moja na mimi nitakuita majina ya karaha maana yapo mengi tu.
haya mambo ya ushabiki wa soka yana mambo mengi hasa humu mitandaoni,maana unajibizana na watu ambao huwaoni so kila mtu unamchukulia vile alivyo mwenye lugha ya heshima unaenda nae kiheshima na mwenye karaha unamjibu kwa karaha ili twende sawa ili isje kuonekana tunawatenga wengine.....
Kwani nani ana haja ya kuona Klopp analinganishwa nani !? Hiyo 'world class coach' leseni yake inapatikana wapi !?
Hatuna haja ya Klopp afanye kama anavyofanya Pep !
Ujuaji ukizidi unakuwa ujinga !
Ati mzoefu, wa ujinga tuu, Unajiona unajuua ! Pathetic !Kwavile wewe sio mjuzi wala mzoefu Wa kuweza kumdebete au Kumchallenge mtu majibu yako Ni mepesi sana wala huhitaji kujibiwa deep ama technicaly.
Kwanza:
Kwani nani ana haja ya kuona Klopp analinganishwa nani !?
Hapa tunapopost au kulinganisha mtu harupost kwa ajili yako kuwa lazima usome! Unaweza ukapotezea tu! Ukisoma manayake Ni kiherehere chako kwa yasio kuhusu.
Pili:
Hiyo 'world class coach' leseni yake inapatikana wapi !?
Leseni ya World Class Ni Kubeba Makombe tu na si Jengine!
World Class haipatikani JF kuwa Tumwite Kocha Wetu World Class bila ya Kuprove yeye mwenyewe kwa Makombe.
Hao kina Mourinho, Ancelotti, Zidane na Guardiola wamekuwa World Class Kwa Kubeba Makombe Consistently na sio kuitwa na Mashabiki wao Kama Munavyotaka Kujiaminisha nyinyi wenyewe.
Tatu:
Hatuna haja ya Klopp afanye kama anavyofanya Pep !
Kwa wewe na Watu Kama Wewe Munaoridhika na Kupiga Pasi na Kumfunga Napoli ndiyo Hamuhitaji hilo.
Lakini Kwa sisi tulio na Njaa ya Makombe na Wenye Kuamini Kuwa Makombe ndiyo DNA ya Liverpool basi tunahaja ya Lazima ya Kuwa Klopp afanya kama Alivyofanya Guardiola kubeba Makombe Yote duniani (Ligi Kuu na CL).... Then tunataka Ampite Kwa Makombe ili heshima yetu irudi.
Wewe na wenzako haina shida endeleeni kutaja Klopp afanye Kama anavyofanya Pochetino kugombania Top 4 tu then mujiite washabiki Halisi Wa Liverpool.
Finally:
Ujuaji ukizidi unakuwa ujinga !
Sentensi hii umekudefine wewe mwenyewe Ni mtu Wa Aina gani.
Ati mzoefu, wa ujinga tuu, Unajiona unajuua ! Pathetic !
Shabiki nguli wa THE GONO anashinda huku maana uzi wao kule hamna uchambuzi kila siku ni habari za torreira tu
Ok ur welcome
This is liverpool usipo ipenda kwa dhahir kwa mambo yake basi utaipenda kimoyo moyo ama laa itakua inakuumiza tu daily
Ukiona hivyo jua hana hoja ila ni anataka kuongea tu tumjueAre these all your contents you have? →→ Ati mzoefu, wa ujinga tuu, Unajiona unajuua ! Pathetic !
Sorry bro! This is my last comment to quote you! Find your level..
Have a good day.
Wewe ndo una level gani !? Peleka ushamba mbele hukoo !Are these all your contents you have? →→ Ati mzoefu, wa ujinga tuu, Unajiona unajuua ! Pathetic !
Sorry bro! This is my last comment to quote you! Find your level..
Have a good day.
....acha kihere here kama mtoto wa kike ! Mind your business. Kuna nini cha mno humu !Ukiona hivyo jua hana hoja ila ni anataka kuongea tu tumjue
Napoli Leo anaua panya aitwae Liverpool
Nahisi harufu ya europa humu