Rajab_Omar
JF-Expert Member
- May 15, 2016
- 16,480
- 27,185
Haya Majibu SG sijui anayafikiria muda gani na anakusudia kufanya Nini!! Ha ha ha ha
Muda wa timu kuwa chuo cha mafunzo umepita.tunataka matokeo ya haraka.chelsea au man city hawawezi kufanya timu zao vyuo.kama kuna kijana afanye jitihada kama TAA.Angalieni mpaka sasa Fabinho hajapata namba sembuse makindaMkuu hawa mandogo wataodoka tu imagine msimuu huu hakuna hata mmoja nakumbuka hata tukiwa tumeshinda anaepata angalau dakika chache..
kuwapanga mane,sala,bobby almost kila mechi hua sielewi kwamba hao makinda hawaja mconvince klopp they deserv better...Solanke alikimbia Chelsea kwa mambo haya haya sasa sijui anajisikia aje...to bring out the best ya hawa makinda they need a bigger challenge sio under 23 pekee...
ni sheria mpya yaja kuanzia 2021 klabu itaruhuisiwa kutoa wachezaji 6 kwa mkopo basi meaning wengi watauzwa...
hivi Mane akiumia, Sala nae what wil happen..kwa sasa Defence angalau bila useless Lovren or Anyother except VVD uhakika wa kutuliza mashambulizi upo...
Klopp need to give this young Reds some minutes...
mkuu ishu sio kua chuo ishu ni kua na immediate plan B pale soko la kununua linakua hostile kwa target zetu, hawa makinda naamini wakipewa nafasi kama TAA, Gomez watafanya vizuri tu....na bila wasipofanya vzuri ni kuwauza tu hakuna namna...Muda wa timu kuwa chuo cha mafunzo umepita.tunataka matokeo ya haraka.chelsea au man city hawawezi kufanya timu zao vyuo.kama kuna kijana afanye jitihada kama TAA.Angalieni mpaka sasa Fabinho hajapata namba sembuse makinda
mkuu ishu sio kua chuo ishu ni kua na immediate plan B pale soko la kununua linakua hostile kwa target zetu, hawa makinda naamini wakipewa nafasi kama TAA, Gomez watafanya vizuri tu....na bila wasipofanya vzuri ni kuwauza tu hakuna namna...
ni kweli ushindani wa namba upo juu maana hata Matip, Lovren, Daniel n.k hawapati namba kikodi cha kwanza...
hapa namaanisha timu ikiongoza 2-0 wawe wanawekwa sio kusugua benchi la U23....
Scotish league ni nyepesi kuliko hata championship ya uingereza. Hivyo usimpe credit kihivyo.naona our legend SG anakula sahani moja (toe to toe) na bosi wake wa zamani.
huyu lazima aje kumpokea mikoba Klopp atakapoondoka.
View attachment 956919
Scotish league ni nyepesi kuliko hata championship ya uingereza. Hivyo usimpe credit kihivyo.
Kosi la leo.. Lazima tuue mtuView attachment 957500
Vipi Ginni naona hata kwenye sub hayupo. Kunani?
Fabinho hana tofauti na himid maoKwasababu watu tumetofautiana Katika utazamaji Wa Mpira basi sitoweza kuwasemea Wengine! Lakini kwa nilichokiona Mimi uwanjani Fabinho is mile better away than Henderson..
Leo Kapiga DM ya uhakika has a ukiangalia jukumu lake la Kucheza tackles amelifanya vyema.
He is our best DM kwa sasa
Labda wa masumbwibingwa wa nn mkuu?
Kiungo mbovu hana creativityUnajua kinachofanya Fabinho watu wasimuelewe Ni ule upole wake kuwa Mshkaji hana papara na hana Pacy, na Vile hafokei Marefa kunazidi kumfanya watu wasimuelewe..
Lakini kwasisi tunaojua Majukumu Yake basi tumeelewa alichokifanya leo.
SawaKosi la leo.. Lazima tuue mtuView attachment 957500
mkuu fuatilia hiyo ligi utajua SG timu kaitoa wapi.Scotish league ni nyepesi kuliko hata championship ya uingereza. Hivyo usimpe credit kihivyo.
Scotish league ni nyepesi kuliko hata championship ya uingereza. Hivyo usimpe credit kihivyo.
wakuu hv adhabu hendo ilikuwa mechi ngapi