Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Una timu ya kawaida tu,

Hauna gegen pressing, unacheza ili mradi tu,

Shukuru unapata matokeo, ila sooon tutaongea mengine, kwanza unaanza na kwenda europa , then unaporomoshwa hapo juu, na ligi inakuwa imeisha kwako kufikia february
Uliridhishwa uchawi au ulienda kuutafuta mwenyewe????
 
Una timu ya kawaida tu,

Hauna gegen pressing, unacheza ili mradi tu,

Shukuru unapata matokeo, ila sooon tutaongea mengine, kwanza unaanza na kwenda europa , then unaporomoshwa hapo juu, na ligi inakuwa imeisha kwako kufikia february

Nitakujibu Alhamisi asubuhi! Naomba unistahamilie mpaka Siku hiyo
 
Una timu ya kawaida tu,

Hauna gegen pressing, unacheza ili mradi tu,

Shukuru unapata matokeo, ila sooon tutaongea mengine, kwanza unaanza na kwenda europa , then unaporomoshwa hapo juu, na ligi inakuwa imeisha kwako kufikia february
"Kama inauma chomoa"
 
Huyu Silva anaonesha wazi kuwa Atamsumbua sana Klopp kwenye EPL coz sijui anatujuilia sehemu gani!!!
Klopp beaten once draw once so leo ameshinda kwa mara ya kwanza vs Silva....
he is young coach haogopi kushambulia n th boys to express thenselv u saw Andre n.k...
kwa sasa Klopp atakua makini next akikutana nae...
Raha ya leo Origi kupiga lile goli, the guy is hero now..wow what a goal leo ataota na kuota...amazing..
lakini pia Pickford had a great game today he is such a promising kipa..
Leo pia Allison bei yake imeonekana ni fair price maana kutokoa kabisaa
YNWA
 
HONGERENI KWA USHINDI LAKINI ACHENI KUJIOVERRATE TIMU YENU YA KAWAIDA SANA MAANA LEO KLOPP KAWAVUA NGUO,MAANA HAO WACHEZAJI MUNAOWALILIA KILA SIKU WACHEZESHWE LEO WAMEPANGWA NA HAKUNA JIPYA TIMU BADO HAIPO KAMA MATARAJIO YENU YALIVYO........KIPIGO CHENU CHAJA SOON
Wewe unaona Evaton ya kibwege? Walijipanga kutofungwa na kungepangwa hao vipenzi tungepigwa

Mafano alioitoa Gomenz angekua Lovlen angeishuhudia kwa macho tu.
 
Aliyemuangalia Fabinho, unaweza kumlinganisha na Hebderson.!?

Kwasababu watu tumetofautiana Katika utazamaji Wa Mpira basi sitoweza kuwasemea Wengine! Lakini kwa nilichokiona Mimi uwanjani Fabinho is mile better away than Henderson..
Leo Kapiga DM ya uhakika has a ukiangalia jukumu lake la Kucheza tackles amelifanya vyema.

He is our best DM kwa sasa
 
Ya'll have seen that Fabinho professional display?

Top Top Top Top footballer

Trust him, and he will always give you those kinda perfomances

Second MOTM to Allison
Honestly mimi nimemwona wa kawaida. Labda sijui kutofautisha jinsi mnavyoona ninyi na mimi.

Wote hawa leo wamecheza kawaida sana.
1. Firminho
2. Shakir
3. Fabinho

Waliocheza vizuri.
1. Backline yooote haswa Gomez. Ameondora hatari 1 kwenye mstari kabisa. What r cĺearence!
2. Mane. Waliobaki walijaribu.
 
Wewe unaona Evaton ya kibwege? Walijipanga kutofungwa na kungepangwa hao vipenzi tungepigwa

Mafano alioitoa Gomenz angekua Lovlen angeishuhudia kwa macho tu.

Gomez anahitaji Golden Medal kwa kitendo mile! Kama ulivuosema angelikuwa Lovren pale angeishuhudia Kwa Macho au Angeisindikiza Kwa Macho ikawa Own Goal.
 
Una timu ya kawaida tu,

Hauna gegen pressing, unacheza ili mradi tu,

Shukuru unapata matokeo, ila sooon tutaongea mengine, kwanza unaanza na kwenda europa , then unaporomoshwa hapo juu, na ligi inakuwa imeisha kwako kufikia february
hawa hawana tofauti ni ndala ushindi wao ni wa bahatibahati tu
 
Honestly mimi nimemwona wa kawaida. Labda sijui kutofautisha jinsi mnavyoona ninyi na mimi.

Wote hawa leo wamecheza kawaida sana.
1. Firminho
2. Shakir
3. Fabinho

Waliocheza vizuri.
1. Backline yooote haswa Gomez. Ameondora hatari 1 kwenye mstari kabisa. What r cĺearence!
2. Mane. Waliobaki walijaribu.
upo sahihi kabisa mkuu yaani swadaktaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom