Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Tunaangalia mpira kiutofauti sana...Kweli kabisa unaweza kusema leo liver imecheza ovyo?

Kwamba Fabinho amecheza vibaya?

Yaani mtu huoni kabisa midfield ilivyokuwa inafanya jukumu lake ukilinganisha na akiwepo Hendo?

Huyu Fabihno kuwekwa nje na Henderson ni ukiukwaji mkubwa wa sheria za kuthamini vipaji....

Unajua kinachofanya Fabinho watu wasimuelewe Ni ule upole wake kuwa Mshkaji hana papara na hana Pacy, na Vile hafokei Marefa kunazidi kumfanya watu wasimuelewe..

Lakini kwasisi tunaojua Majukumu Yake basi tumeelewa alichokifanya leo.
 
Washabiki Wa Chelshit walikuwa tafrani hapa na Joginho wao sasahivi wameishia Kujipiga Ban wenyewe! Sasa na Hawa Njigiri za Ass-anal Siku zao zinahesabika za kutoweka hapa.
tatizo la shabiki maandazi wa loserfoolish ni muchknow sana ila msimu ukiisha mnakaa kimyaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa mkiwa trophyless
 
IMG_4667.JPG
 
Aliyemuangalia Fabinho, unaweza kumlinganisha na Henderson.!?
Fabinho anajua ndio kuliko hendo ukilinganisha na jins klopp anavyomtumia kwa kubip bip Ila akipazoea itakua pata shika tazama tackling zake utafurah
 
FACT

No player in the Premier League has a better goal to minute ratio this season than Divock Origi

Hii rekodi pia aliwahi kuishika starij kwa muda kadhaa ktk gemu ya westham, sub ya starij dhid ya Chelsea niliwahi fyonza na Leo pia ya origi nilifanya vivyo hivyo, but ni sub za miujiza zilizoishia na kuniacha na furaha tele.
 
Una timu ya kawaida tu,

Hauna gegen pressing, unacheza ili mradi tu,

Shukuru unapata matokeo, ila sooon tutaongea mengine, kwanza unaanza na kwenda europa , then unaporomoshwa hapo juu, na ligi inakuwa imeisha kwako kufikia february


Bado siku tatu tu Arsenal mpigwe na mbabe wenu Mourinho ili muishe kuingia na kutupigia kelele humu
 
HONGERENI KWA USHINDI LAKINI ACHENI KUJIOVERRATE TIMU YENU YA KAWAIDA SANA MAANA LEO KLOPP KAWAVUA NGUO,MAANA HAO WACHEZAJI MUNAOWALILIA KILA SIKU WACHEZESHWE LEO WAMEPANGWA NA HAKUNA JIPYA TIMU BADO HAIPO KAMA MATARAJIO YENU YALIVYO........KIPIGO CHENU CHAJA SOON


Umeongea kama mganga wa kienyeji aisee halafu acha chuki za namna hii utajiongezea shida juu ya shida zako za kila siku
 
Lile genge la vibaya wa Chelsea limekimbia jumla humu halionekani kabisa
 
HONGERENI KWA USHINDI LAKINI ACHENI KUJIOVERRATE TIMU YENU YA KAWAIDA SANA MAANA LEO KLOPP KAWAVUA NGUO,MAANA HAO WACHEZAJI MUNAOWALILIA KILA SIKU WACHEZESHWE LEO WAMEPANGWA NA HAKUNA JIPYA TIMU BADO HAIPO KAMA MATARAJIO YENU YALIVYO........KIPIGO CHENU CHAJA SOON
Jiulize mpaka sisi tunafungwa wewe utakua ushapoteza mechi ngapi na hio timu yako inayocheza soka safi! We continue win ugly until may 2019
 
Lile genge la vibaya wa Chelsea limekimbia jumla humu halionekani kabisa
Limepotea hilo genge sasa naona kuna kagenge kawashika manati kanakuja kwa kasi humu! Dawa yao ipo jikoni weekend ijayo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom