Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

hiyo ndio faida ya kubadilisha lisha kikosi,mchezaji anacheza kwa wiki mara 1 unasema anachoka?
 
Hakuna cha ugumu. Kikosi chetu cha kipuuz namna hii kitashindia wapi? Tabia ya klopp kudharau mechi muhimu bado hajakoma.

Yani leo tukishindwa kupata 3 points, Man city ndo bye bye hivyo. Inauma sana kwa use.n.ge unaondelea. Wana haki wanaotuita zero tropies
Nyie ni sawa na kichwa cha mwendawazimu
 
Hakuna cha ugumu. Kikosi chetu cha kipuuz namna hii kitashindia wapi? Tabia ya klopp kudharau mechi muhimu bado hajakoma.

Yani leo tukishindwa kupata 3 points, Man city ndo bye bye hivyo. Inauma sana kwa use.n.ge unaondelea. Wana haki wanaotuita zero tropies
Kikosi cha kipuuzi!?
Mimi nilisikia sasa hivi Liverpool ana vikosi vikali viwili,yaani wachezaji walio benchi ni sawa na walio ndani,sasa kikosi gani cha kipuuzi unachokizungumzia ndugu?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom