AdvocateFi
JF-Expert Member
- Jan 15, 2012
- 11,492
- 5,049
Origi has to start in a place of Firmino....not Sturridge.
Origi has to start in a place of Firmino....not Sturridge.
Ooh Lord
Kids gone bad
Mental health Ni shida
Majeruh wa mguu tokana na mech ya juz everton, pia Robertson gomez nao majeruh wanaweza wasicheze kesho
I would try origi hata Kwa 20 minutes because he's fired upMkuu Gomez Ni mzima No injury
Mane na Robbo wana Minor injury sio kubwa kihivyo
Leo watapaswa kupumzishwa ili wawe Fit kwani mwezi huu tuna games nyingi sana (10)
Xhaqiri na Moreno wataplay nafasi za Mane na Moreno respectively
I would try origi hata Kwa 20 minutes because he's fired up
Mkuu Gomez Ni mzima No injury
Mane na Robbo wana Minor injury sio kubwa kihivyo
Leo watapaswa kupumzishwa ili wawe Fit kwani mwezi huu tuna games nyingi sana (10)
Xhaqiri na Moreno wataplay nafasi za Mane na Moreno respectively
Ww ulimfunga lini huyo man u?Endelea kupiga ramli tu! Wale jamaa mmezoea kuwauzia wanawaita OT hapo J5, baada ya hapo nafikiri utakua kwenye nafasi yenu sahihi
FA wolves hawawez kuwaacha salama
Hivo kwa sasa tunaweza kuhitimisha liva kamaliza msimu bila kitu
TEAM UKAMENI
Toka mwaka 90 mnasema hivo hivo, nikiwa na umri wa miaka 11 mwaka 2002Ta
Mwaka huu maji mtaita mma sabab hakuna wa kumzuia liver kwenye league yoyote.
respect yourself bro...........jaribu kudecrease kiwango cha shobo zako na ujuaji mimi ni sawa na baba yako mzazi so kunifananisha na mtoto wa secondari ni dharau kubwa......kwa taarifa yako tu humu JF watu wanatumia ID's mficho so kuwa makini unaweza kuta unabattle na baba yako mzaziMkuu unapaswa kujua Whom you are arguing with.. Unaweza kuta unabishana na Dogo Wa Secondary School!
hivi viajuza ni vibishi sana inabidi utumie bakora kuwaelimisha hili kuwa timu ya ni ya hovyoToka mwaka 90 mnasema hivo hivo, nikiwa na umri wa miaka 11 mwaka 2002
Liver alikuwa Anaongoza lig zikiwa zimebak mech 12 ligi iishe, cha ajabu alimaliza nafas ya 4 , na arsenal aliyekuwa wa 4 akatwaa ubingwa
Ndio ubingwa ambao sitausahau,
Hivo liver Hapo juu , soon mtaporomoka, EPL sio saiz yenu,
Toka mwaka 90 mnasema hivo hivo, nikiwa na umri wa miaka 11 mwaka 2002
Liver alikuwa Anaongoza lig zikiwa zimebak mech 12 ligi iishe, cha ajabu alimaliza nafas ya 4 , na arsenal aliyekuwa wa 4 akatwaa ubingwa
Ndio ubingwa ambao sitausahau,
Hivo liver Hapo juu , soon mtaporomoka, EPL sio saiz yenu,
hivi viajuza ni vibishi sana inabidi utumie bakora kuwaelimisha hili kuwa timu ya ni ya hovyo