Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Kuna kila dalili ya Sare leo hakuna kinachofanyika our possession is between Defence and Goalkeeper ni Backwards and Sideways tu.
 
Nimeangalia Line Up za:
Man U
Spurs
Chelsea
Arsenal

Nimeona Kuwa Wamepanga Vikosi Vya Kuoambana.

Salah na Firmino waingizwe uwanjani kwa Maslahi ya Timu
 
Hawa Burnley tukkutana nao lazima wawe wagumu

Hakuna cha ugumu. Kikosi chetu cha kipuuz namna hii kitashindia wapi? Tabia ya klopp kudharau mechi muhimu bado hajakoma.

Yani leo tukishindwa kupata 3 points, Man city ndo bye bye hivyo. Inauma sana kwa use.n.ge unaondelea. Wana haki wanaotuita zero tropies
 
Tustahamili huenda 2nd Half tukamaliza game mapema
 
Juzi tumepigana sana na everton na lengo.lilikuwa tupate 3 points ili man city wasitupige gap. Maana gap zaid ya hapa tulipo itakuwa ndiyo bye bye.

Watu wanasema ooh cjui wachezaj wanapumzika, huo ni ujinga na upuuzi, unapumzika kwa kombe gan uliobeba? Guys we need to bring back our lost glory na sio kuzembea mechi muhimu.
 
Kuna jamaa alimng'ang'ania kinoma. Sijui yuko api saii
Mimi apa huyu ni mchezaji wa kusaidia na si wa kikosi cha kwanza.

Hafu mumuangalie na sturrege pia au yeye kafanya vizuri
 
Juzi tumepigana sana na everton na lengo.lilikuwa tupate 3 points ili man city wasitupige gap. Maana gap zaid ya hapa tulipo itakuwa ndiyo bye bye.

Watu wanasema ooh cjui wachezaj wanapumzika, huo ni ujinga na upuuzi, unapumzika kwa kombe gan uliobeba? Guys we need to bring back our lost glory na sio kuzembea mechi muhimu.
Kombe la kupigania ndio hili unakuja na rotation za ajabu ajabu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom