Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Ikiwa tutacheza Formation ya 4-2-3-1 basi sitokuwa na Chakumlaumu Klopp katika Kikosi Cha leo Hata tukifungwa as long as Hatachelewesha Kufanya sababu sahihi iwapo Mambo yatakwenda Kombo.

Nimependa Kikosi Cha leo! Sina Cha Kulaumu.

√ 3 Points Ni Muhimu Kwa Leo
√ Clean Sheet Ni Muhimu Kwa Leo


#YNWA
kabisa kikosi cha leo murwa kabisa...hope Norbert ataedelea kuingia JF na kusikiliza kilio chetu hehe...3 points muhimu sana leo kuzipata
 
Huu uzi wa mwaka 1998/2000 nilikuwa naupenda sana na nilinunua japo nyie ni maadui zangu balaa hasa ile combination ya michael owen na abubakar titi camara nyuma yao alikuwa mnyama patrick berger wakat huo rigobert song alikuwa akicheza nne japo hakuwa na namba ya kudumu.View attachment 953480

Titi Camara, mzee wa kupiga visigino.

Aisee.
 
Ingawa Derby sikuzote ina ugumu wake! Lakini Hii game tayari Ni Yetu!
Kinachotakiwa Ni Salah na Mane wawe Makini tu pale mbele Coz wanapoteza sana mipira
 
Hata hivyo mpaka sasa inaonesha hii Derby Ni ngumu lakini naamini Klopp kwenye 2nd Half atakisolve alichokigundua 1st Half
 
HONGERENI KWA USHINDI LAKINI ACHENI KUJIOVERRATE TIMU YENU YA KAWAIDA SANA MAANA LEO KLOPP KAWAVUA NGUO,MAANA HAO WACHEZAJI MUNAOWALILIA KILA SIKU WACHEZESHWE LEO WAMEPANGWA NA HAKUNA JIPYA TIMU BADO HAIPO KAMA MATARAJIO YENU YALIVYO........KIPIGO CHENU CHAJA SOON
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom