Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

unless umehamia mancty ndugu sikuoni kwenye harakati za kubeba ubingwa msimu huu hivyo ongea mengine na sio la ubingwa....
wewe umehamia wapi ndugu yangu?mbona sikuoni ktk rada za ubingwa?mimi na ww tumepishana point ngapi ndugu?na bado mechi ngapi ligi iishe?tar 5 una burnley away ,tar 8 una bournalmouth away tar 16 una manure hapa kwa ushindi wako wa tia maji tia maji lazima upigwe game mbili nyambaf then mm nakaa hapo nampumulia city kipindi hiko ww una stress za futuhi hahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahaha
 
Mkuu "Heavy Meta Football a.k.a Gengenpressing" haikuwa ndiyo sababu halisi ya Kupoteza games!

Athari ya Gengenpressing Ni moja tu yakuwa kila Wiki lazima itupe injury.

Sababu halisi iliyokuwa ikitufanya tupoteze games ilikuwa Ni Defence na Goalkeeper.

• Last season takriban Michezo 10 ya EPL tulikuwa tupo katika nafasi ya Kushinda lakini tulifungwa au tulidraw kwasababu ya Defence na Kipa.
Kati ya Hizo maarufu zaidi Ni Watford 3 - 3 Liverpool, Liverpool 2 - 2 Everton, Arsenal 3 - 3 Liverpool, Liverpool 1 - Chelsea ... Na kuna Michezo mengine mengi tu tuliyonyimwa ushindi na Kipa au Mabeki.

• Sasa Kwa Msimu Huu kuna Mechi Nyingi ambazo tumekuwa Katika Hatari ya Kupoteza lakini tumeokolewa na Kipa au Mabeki.

Na zilizowazi zaidi Ni Liverpool 1 - 0 Everton, Chelsea 1 - 1 Liverpool, Arsenal 1 - 1 Liverpool, Liver vs BH Albion Mkuu hizi game Ni Umahiri Wa Kipa tu na Mabeki lakini ilikuwa tayari tulale...

√ Wewe unadhani Kwa Game ya Jana angelikuwepo Karius golini ingekuaje?

Mkuu Heavy Metal Football haikuwa sababu ya sisi kufungwa! Ni Karius, Mignolet na Lovren ndiyo Waliokuwa Wakitufungisha.

Now we have Gomez and Alisson
ni sahihi kabisa usemavyo...binafsi hii high pressing naona huleta majerhi sana kwa wachezaji esp unavyokua huna sub za like for like....i support hii ya sasa as long as wachezaji watabaki salama bila majeraha...
mechi ya jana kwa beki Matip, Lovren kipa Migo or Karius tungetadikwa nyingi tu kwa kweli....
Allison guys is the real deal...hana papara kujiposition n.k...
if winning ugly wil bring th trophies so b t
 
wewe umehamia wapi ndugu yangu?mbona sikuoni ktk rada za ubingwa?mimi na ww tumepishana point ngapi ndugu?na bado mechi ngapi ligi iishe?tar 5 una burnley away ,tar 8 una bournalmouth away tar 16 una manure hapa kwa ushindi wako wa tia maji tia maji lazima upigwe game mbili nyambaf then mm nakaa hapo nampumulia city kipindi hiko ww una stress za futuhi hahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahaha
kweli adui yako muombe njaa....hivi wewe unadhani hizo second tier team siku hizi zinanisumbua..Burnley anapigwa kwake Turf, Bono nae kichapo...Manure akishakutadika jta5 wewe ndio utajua hata big four kubaki ni mtihani hivyo ubingwa wewe ni kukosa ni 5000000+ na kupata -1
naona kumpiga spas kumewachanganya sana hamjiamini kabisaa mpaka umeweka kambi humu, hongereni maana alikua ananipumulia...
 
Origi ameingia amefanya event tatu moja imegonga mwamba... nyingine anamkimbiza kwa kasi mchezaji wa everton huku kwenye wing ya kulia akapiga cross nzuri tu na ya tatu katupa cha kuongea wiki nzima hii. Origiiiiii
 
HW Ni Mzuri lakini sioni kuwa Anafuture Yoyote Ndani Ya Liverpool! Ataendelea Kutolewa Kwa Mkopo na Mwishowake atauzwa.

Hii Ni Kutokana na Na Uwepo Wa Mane, Salah na Firmino utalimit game time Yake.

Na iwapo Brewster ata-adapt na Kuperform well ndiyo kabisa Wilson hatofanikiwa Ndani ya Liverpool.
tunatakiwa kumpa chance yule dogo aiseee......


hao kina mane, salah na firmino hatuwezi wategemea daima...... this way hata wodburn nae tutampoteza sasa
 
Umeongea vizuri sana. Pia inasababisha majeruhi. Ila nina uhakika baada ya January tutacheza heavy metal football. Sasa hivi ni kulinda tusifungwe na kucontrol game. Everton wapo vizuri sana, msimu huu watasumbua sana.

Heavy Metal Football kwa Sasa Haitufai Kutokana na Ufinyu Wa Kikosi Chetu!

Watu Wanahisi tuna Kikosi Kipana lakini Ukweli Ni Kwamba Sab ya Uhakika tuliyonayo juu Ni Xhaqiri na Milner peke Yake.

Kina Lallana, Sturbridge, Solanke na Origi Mimi sioni kuwa Ni Depth.

Mtazame Mane na Gomez tokea Uanze Msimu Hajapata injury! Lakini Last season kwenye HMF walikuwa Hawamalizi mwezi tunawakosa.

So, bora tucheze hivihivi Nice and slow as long as tunapata 3 points.

No Gengenpressing till the end of the season.

Siku tutakapopata Kikosi Kipana kama Man City cha Kuwa Wakiumia Wachezaji Wawili mpaka Watatu haileti athari! Hapo ndiyo tutacheza HMF.
 
VISHABIKI VYA LOSELFOOLISH HAVIPENDAGI KUAMBIWA UKWELI LAKINI SISHANGAI NDIO SHIDA YA VIAJUZA VYENYEWE VINAKUWA MUCHKNOW SANA KWA VISINGIZIO VYA KUISHI MUDA MREFU DUNIANI MAANA VISHABIKI VYA HAKA KATIMU VYOTE VIMEZALIWA MIAKA YA 60 KUSHUKA CHINI
Dharau haijawahi kumpa mtu yoyote any self esteem

Hukua na haja ya kututusi namna hii bila sababu

Kumbuka hao unaosema wamezaliwa 60s ndio wanaokulea

Anyways... Yawezekana u mtoto was kikopo, and that's where you belong

Ustaarab sio kwa Kila mtu.... Nimeamini
 
IMG_20181202_231004.jpg


Huyu boya baada ya Waingereza Kumpaisha kama ilivyokawaida yao Media za Kiiengereza Kupaisha Wachezaji Wao! Alijiona Tayari ameshakuwa De Gegea.

Hatimae Jana Mpira Umempa Somo kwa Kumzawadia Origi Goli la Jioni.

#ThisIsFootball
 
View attachment 954031

Huyu boya baada ya Waingereza Kumpaisha kama ilivyokawaida yao Media za Kiiengereza Kupaisha Wachezaji Wao! Alijiona Tayari ameshakuwa De Gegea.

Hatimae Jana Mpira Umempa Somo kwa Kumzawadia Origi Goli la Jioni.

#ThisIsFootball

Jana alivyopigwa straight niliikumbuka hii taarifa nikawaza kapata funzo.
 
Origi ameingia amefanya event tatu moja imegonga mwamba... nyingine anamkimbiza kwa kasi mchezaji wa everton huku kwenye wing ya kulia akapiga cross nzuri tu na ya tatu katupa cha kuongea wiki nzima hii. Origiiiiii
Anauzwa na event zake
 
Honestly mimi nimemwona wa kawaida. Labda sijui kutofautisha jinsi mnavyoona ninyi na mimi.

Wote hawa leo wamecheza kawaida sana.
1. Firminho
2. Shakir
3. Fabinho

Waliocheza vizuri.
1. Backline yooote haswa Gomez. Ameondora hatari 1 kwenye mstari kabisa. What r cĺearence!
2. Mane. Waliobaki walijaribu.

Watch the game again ukiwa umetulia.

Fabinho was the best midfielder kwenye game ya jana, matter of fact ni game yake bora kabisa akiwa na LFC mpaka sasa,

I was scared baada ya kuona line up ya Everton, na nikaona Fabinho will get bullied kama game ya Arsenal, Gomes and Gueye are top class CMs and Marco Silva seems to get the best out of them, but Fabinho won the battle jana (have to say was one of the greatest midfield battles in the league so far, and shout out to Gomes, he was good)

Faby wanted to prove a point jana and he did it, with Firmino out of form and not pressing anymore, it was so easy kwa Gueye, Gomes and Siggy kuchukua mipira kwenye eneo lao na kudrive in the middle, but Faby controlled them, and eventually came out on top.

guess tumezoea kuona CDMs wetu wakikimbia uwanja mzima na kuvacate spaces katikati na ndiyo maana huwa tunakuwa open sana in the middle, but positional awareness ya Fabinho ndiyo ilikuwa deciding factor kwenye battle ya jana, the way he makes himself available for passes and open passing angles to his team-mates is what differentiate a top class DM na wengine.

he won most tackles y'day (6 out of 7), compeleted 50 of his 58 passes, made 5 ball recoveries and won the ball for his team-mates 14 times, 72 touches and 86% passing accuracy. what more do you want from a DM after that perfomance?

he doesnt run with no purposes, doesnt shout to the players or reeferees, doesnt commit useless fouls, he's just a quiety dude ambaye anajua anachokifanya uwanjani na anafanya kwa usalama zaidi, unajua kuwa Fabinho ni moja kati ya DM wenye yellow cards chache sana? na in his career as a DM hajawahi ku-receive a second yellow card.

amecheza dakika si chini ya 400 at LFC na tayari anaongoza kwa kupiga progressive passes to our front three by 33% followed closely by Keita, tunapolalamika hawa jamaa waanze kwenye games, huwa tunaangalia hivi vitu pia.

Firmino needs a rest, and Shaqiri should play as a 10 and not RW.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom