Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Washabiki wengine aisee, unapata faida gani?

Nimekujibu kwa mara ya mwisho.
kwani nilikujibu wewe mkuu?niliyemjibu amekaa kimya cz anajua alichokiandika naona wewe unajipayukisha bila 7bu mkuki kwa nguruwe
 
HENDO ni mwamba lazima mkubali huyu fabinho ni mtalii tu
umesema muda ni jaji...bado sijaamini ndogo hatamudu kukaa Liverpool kwa kuangalia mechi chache alizocheza....
nitam jaji msimu ujao kama anafaa kua kikosi cha kwanza au la maana hapati mechi mfululizo ni hia pia huadhiri uchezaji....
anamuda bado wa kuonyesha ubora wake...lakini pia leo Evaton wamecheza vizuri sana..
huyu kocha Silva anamjulia sana Klopp...ila leo Klopp kamzidi kete kiana...
 
salute th boy what a composure....this s what matters wen given th stage on big occasion..grab t wt style n make th headlines....
Origi th Derby King
MY KENYAN BROTHER WAS BORN FOR THESE OCCASIONS

RESPECT THE NAME DIVOCK ORIGI

LIVERPOOL LEGEND

HAHAHAHAHAHAHA
 
Nakuruhusu Fukua Makaburi na tafuta Wenzio Wakusaidie ili ueke hapa uoneshe watu Kuwa Niliwahi Kusema 'KLOPP OUT"

Mimi huwa ninalalamika tu anapokosea lakini sikuwahi kuwaza Klopp aondoke.
sawa nipe muda
 
umesema muda ni jaji...bado sijaamini ndogo hatamudu kukaa Liverpool kwa kuangalia mechi chache alizocheza....
nitam jaji msimu ujao kama anafaa kua kikosi cha kwanza au la maana hapati mechi mfululizo ni hia pia huadhiri uchezaji....
anamuda bado wa kuonyesha ubora wake...lakini pia leo Evaton wamecheza vizuri sana..
huyu kocha Silva anamjulia sana Klopp...ila leo Klopp kamzidi kete kiana...

Huyu Silva anaonesha wazi kuwa Atamsumbua sana Klopp kwenye EPL coz sijui anatujuilia sehemu gani!!!
 
Nikweli utajipigia lakini umeshindwa Emirates sasa subiri uje Anfield ujipigie
Una timu ya kawaida tu,

Hauna gegen pressing, unacheza ili mradi tu,

Shukuru unapata matokeo, ila sooon tutaongea mengine, kwanza unaanza na kwenda europa , then unaporomoshwa hapo juu, na ligi inakuwa imeisha kwako kufikia february
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom