Kwani unateseka?I hope this is your year "wazee "..
View attachment 953902View attachment 953903View attachment 953904
I hope this is your year "wazee "..
View attachment 953902View attachment 953903View attachment 953904
heavy metal football wachezaji wanachoka, wanakosa muendelezo.Kumbuka last season, tukicheza mechi mbili ndani ya siku 5 ,lazima tupoteze mechi ya tatu. Na tukasema "Liverpool has no winning game consistency"what a tough derby!!
Mpaka boss Klopp kachanganyikiwa!!
I just wish arudishe heavy metal football kuliko style hii anayo apply ya kupata matokeo
Umeongea vizuri sana. Pia inasababisha majeruhi. Ila nina uhakika baada ya January tutacheza heavy metal football. Sasa hivi ni kulinda tusifungwe na kucontrol game. Everton wapo vizuri sana, msimu huu watasumbua sana.heavy metal football wachezaji wanachoka, wanakosa muendelezo.Kumbuka last season, tukicheza mechi mbili ndani ya siku 5 ,lazima tupoteze mechi ya tatu. Na tukasema "Liverpool has no winning game consistency"
At least sasa tunashinda kila game japo zingine zinakuwa ngumu.
heavy metal football wachezaji wanachoka, wanakosa muendelezo.Kumbuka last season, tukicheza mechi mbili ndani ya siku 5 ,lazima tupoteze mechi ya tatu. Na tukasema "Liverpool has no winning game consistency"
At least sasa tunashinda kila game japo zingine zinakuwa ngumu.
VISHABIKI VYA LOSELFOOLISH HAVIPENDAGI KUAMBIWA UKWELI LAKINI SISHANGAI NDIO SHIDA YA VIAJUZA VYENYEWE VINAKUWA MUCHKNOW SANA KWA VISINGIZIO VYA KUISHI MUDA MREFU DUNIANI MAANA VISHABIKI VYA HAKA KATIMU VYOTE VIMEZALIWA MIAKA YA 60 KUSHUKA CHINIUmeongea kama mganga wa kienyeji aisee halafu acha chuki za namna hii utajiongezea shida juu ya shida zako za kila siku
hapa ndio nimeona upumbavu wa marefa wa kibongo dadadeki goli kama hili lilifungwa na MO IBRAHIM wa simba wakalikataa wakasema ni offside daaah sisi tuna safari ndefu sana
ila refa hili ndio alilolitaka mamamamaeeeeee yaani kaongeza dk 4 cha ajabu goli linafungwa dk ya 96 mushukuru hiyo mbeleko nyie maloser
th gooners tu mkuu ndio wamenuna....huku kops ni kicheko..Ilikuwa derby nzuri sana
Tunatengeneza nafasi nyingi LKN tunakosa sana mabao
Thank you Liverpool,than you Klopp
W is W
Nani amenuna?
refa tena unamleta bado hujaamini zile pointi murwa kabisa tulistahili...ila refa hili ndio alilolitaka mamamamaeeeeee yaani kaongeza dk 4 cha ajabu goli linafungwa dk ya 96 mushukuru hiyo mbeleko nyie maloser
unless umehamia mancty ndugu sikuoni kwenye harakati za kubeba ubingwa msimu huu hivyo ongea mengine na sio la ubingwa....tatizo la shabiki maandazi wa loserfoolish ni muchknow sana ila msimu ukiisha mnakaa kimyaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa mkiwa trophyless
man u av nailed t
n yet u r so far to match our 18 tym winners even after all those years....I hope this is your year "wazee "..
View attachment 953902View attachment 953903View attachment 953904
You can't be seriousklopp,mzee wa kuanza vizuuuri na kuzingua mwishoni,ana alergy na silverware huyu!