Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Hata mimi nimegundua kuna watu ukiwaquote unapoteza muda bure maana hawataelewa chochote. Kama kuna pointless niliyoeleza hapo kwa kutoa mifano ya current teams zinazotumia mfumo huo wa 4-3-3 nitupie madongo sasa. Sababu mashabiki wa Liverpool mnaandamwa sana ni kwa sababu you are too much-know kana kwamba mna miaka 100 mkishabikia mpira wakati wengi wenu mmezaliwa 90's na mpira mkaanza kushabikia 2010 enzi za Steve Gerrard. Pole sana Ngwaba
Mkuu siku zote mtu anayejiona mjuaji hapendi kukosolewa. Ukimjibu au ukimzidi point yeye anaona wewe hujui chochote. Kuna uhusiano gani wa timu kuanzishwa 2004 na kuujua mpira.? Yaan hana cha maana zaidi tu ya kutafuta sababu ambazo pia hazina maana.

Mtu kama huyu ukishamjua we achana naye. Wale wote ambao timu zao zilianzishwa juzi juzi hamjui mpira. Heheheee...
 
vishabiki vya haka katimu ni much know sana wakati hamna kitu........



ukweli mchungu "HAKUNA KIJANA ANAYESHABIKIA LIVERPOOL KINDAKINDAKI MAANA WASHABIKI WA LIVERPOOL NI WAZEE NA VITOTO".

fanya uchunguzi utaelewa kwanini ......
 
Kwa taarifa yako tu! Liverpool ndiyo Club pekee ya uingereza inayoshika record ya kuongoza kubeba Vikombe vingi vya EPL, ikifuatiwa na Man U, Pia Liverpool ndiyo Club inayoongoza kubeba UEFA kwa club za Uingereza.

Kutokuona Liver ikibeba kombe basi utakuwa ni mtoto wa juzi, Ila kwa taarifa tu hapo 2005 Liver ilibeba UEFA na 2006 ilibeba FA.

Kwahyo pengine umezaliwa kuanzia miaka ya 2010, sad news mwaka huu Liver inaenda kubeba EPL na UEFA.
hahahahahaha mshachanganyikiwa hamuelewi hata munachoandika hivi unaijua vizuri EPL au unapuyanga tu?sema mara ya mwisho kuiona timu yako inachukua EPL ni lini maana hata hujui kuwa robo 3 ya wachezaji wa timu yako walikuwa wapo katika zipu wakati loserfools wanapata hiko kikombe na nadhani kilikuwa sio EPL nyinyi hilo kombe hamjaligusa shubamit
 
Naona unaelekea kuwa sawa na kina Ollachuga Oc , eden kimario na Malafyale...
Jilindie heshima yako katika Forums za Soccer kwa kupost vitu vinavyomake sense.
Unajaribu kuji defend kwa neno "heshima" halitaleta tija yeyote maana iyo "heshima" klopp wako anazid kujikharibia tu.

Wewe tulia sisi tushangilie kipigo chenu. Kama unaona sio "heshima" kushangilia kipigo chenu basi badilisha matokeo mkuu.

Acha ushamba bwana..
 
Hata mimi nimegundua kuna watu ukiwaquote unapoteza muda bure maana hawataelewa chochote. Kama kuna pointless niliyoeleza hapo kwa kutoa mifano ya current teams zinazotumia mfumo huo wa 4-3-3 nitupie madongo sasa. Sababu mashabiki wa Liverpool mnaandamwa sana ni kwa sababu you are too much-know kana kwamba mna miaka 100 mkishabikia mpira wakati wengi wenu mmezaliwa 90's na mpira mkaanza kushabikia 2010 enzi za Steve Gerrard. Pole sana Ngwaba
This guy ni muchknow sana.

Halafu Mara nying hujiona yuko sawa.
 
Kuna kila dalili kwa jirani kutakuwa na msiba. Mgonjwa yuko ICU muda wowote atakata roho
 
Inafurahisha jinsi haters mlivyokuwa obssesed na Liverpool kiasi kwamba tumewaachia jukwaa letu mnajibizana wenyewe kwa wenyewe mmesahau shida za team zenyu.
 
Fact ni
hahahahahaha mshachanganyikiwa hamuelewi hata munachoandika hivi unaijua vizuri EPL au unapuyanga tu?sema mara ya mwisho kuiona timu yako inachukua EPL ni lini maana hata hujui kuwa robo 3 ya wachezaji wa timu yako walikuwa wapo katika zipu wakati loserfools wanapata hiko kikombe na nadhani kilikuwa sio EPL nyinyi hilo kombe hamjaligusa shubamit

Fact ni kwamba Liverpool ndiyo Club inayoongoza kwa kubeba EPL mara nyingi kuliko club zote uingereza huku ikifuatiwa na Man U ya pili.

Shock news, Mwaka huu liver anabeba EPl na UEFA. Hutak kufa
 
Wacha uongo wewe hata mpira huujui labda umeanza kufuatilia jana
  1. Man City wanatumia 4-3-3 PEP
  2. Chelsea wanatumia 4-3-3 Sarri
  3. Real madrid wanatumia 4-3-3 Solari
  4. Juventus wanatumia 4-3-3 Aleggri
List inaendelea na wewe unatudanganya mchana kweupe kuwa 4-3-3 imepitwa na wakati???????
Formation haiamui sana namna gani timu itacheza, hiyo ni mpangilio tu ya wachezaji wakaaje uwanjani na hizi formation huwa zinabadilika aidha kwa kuswitch wachezaji au kusub. Hizo timu zote nilizozitaja zinacheza vizuri na kuposess mpira

The way you came at me, i genuinely thought kutakuwa na heavy debate, only to get told kuwa "Formations haiamui team itacheza vipi kwa maana ni 'mpangilio' tu.

Dude, Formations ndiyo zinafanya hii sport iitwe football/soccer, Formations ndiyo basis ya huu mchezo.

Bila formations hakuna shapes/postions/tactical switches etc

Bila Formations, Stadiums zisingekuwa na michoro ya white chalks..

Bila Formations, kusingekuwa na kitu kinaitwa 'footie proffesionalism"

Bila formation, huu mchezo ungekuwa ni wa watu 22 wanao-hangaika kufukuzia mpira mmoja uwanjani.

And, since when switching players or making subs ndiyo kubadilisa formation? unajua kuwa you can change shape ya team uwanjani bila ku-affect formations? au unajua kuwa shape ndiyo formation?

Unai Emery, deployed this "Onion ring build-up shape" against us ile juzi, lengo likiwa ni kui-overload our right side, did this shape disrupt his 4-2-3-1 formation?

unai.jpg


Countless times, i've explained kuwa, in order to master a modern 4-3-3, you dont need passers now-days, you need transitional merchants, Sarri can play this formations because ana Kante na Barkely kwenye his team, and thats why he does not need to opt kwenye formation ya aina yeyote.

Well, Pep Guardiola, bado mpaka sasa ndiye kocha aliyefanikiwa mpaka sasa kwenye mfumo wa 4-3-3, he's called the "433 mastermind" for that reason, but last time he played a full flowing 433 ni wakati yupo Bayern, Guardiola at City anacheza na 4 creative midfielders behind 1 attacker now. i mean last season he used his old fashioned 433 style against Klopp and got schooled thrice, this season alikuja na formation ya 4-1-4-1, and he got a draw.

This narration, that Pep uses 433 kwasasa ni laughable, Pep started his coaching career at England by playing 3-man defender at the back, and this was Pep's official formation for the majorty of last season and the season before, kwenye hii diagram unaona 433 formation hapa?

pep.png


you have got 2 number 10s and 2 wide wingers, with ferna as a lone sitter, what makes you think that is a 433 formation? besides which footie school teaches that you can deploy a 433 formation with 2 number 10s in half spaces of the pitch?

Allegri with 433? this one is much laughable, i mean ningekuelewa kwa Pep but Allegri? i can count games ambazo Allegri katumia 433 in his career, unaongelea muumini wa complicated formations, Allegri id well known for his 3 formation, i mean 4-4-1-1/4-4-2-1 and 4-2-3-1, and its a shame because umemtaja Allegri huku ukijua kuwa now anacheza na 2 inside forwards (Cr7 and Dybala), how can you make 433 a success with 2 inside forwards? au "google" imekwambia kuwa hiyo inawezekana?

Solari gani? Santiago? even a random Kid mitaa ya madrid atakwambia Solari ni enthusiast wa 4-2-3-1, Solari na 433?, man was watching Solari first game with my buddies just weeks ago, na tulifanya a quick check na kugundua he deployed a 4-2-2-2 formation, and we laughed so hard about that, leo nakuja kuambiwa kuwa Solari prefers 433, a man who spent his managerial career coaching the madrid youngsters in a 4-2-3-1 formation, leo naambiwa anacheza 433, Solari yupi? naomba proof.

People are confusing formations and shapes, and lucky enough you cant emphasis on shapes bila kutambua basis ya formation husika, mfano formation ya 433, shape yake huwa ni 1-3, 4-2-3-1 defending shape yake huwa ni 1-2, ndiyo maana kama huna capable DM, ni ngumu sana kucheza against pressing teams because ni easy kuwa overrun kwenye MF. i mean dude you cant deploy a 4-4-2 na ukaset shape ya 4-5-1 or 1-2.

Problem, with this modern fans, wanadhani football ni just ku-kick the ball na kupiga chenga, hawaelewi ni kwanini managers wanalipwa hela nyingi ili kufundisha mpira. Again formation inaweza kuwa out-dated but ikaendelea kutumiwa kwa ukubwa tu, kwa mfano, Jardim bado ni muumini mkubwa sana wa 4-4-2, BR nearly won us the league na 4-4-2, even Klopp played with 4-4-2 kwenye baadhi ya games msimu wa 16/17, na pia 4-4-2 is the most preferred and basic formation kwa clubs ndogo across the world.

But world class managers tend to switch formations kulingana na mahitaji ya soccer la kisasa, tunaita formation out-dated kutokana na uchache wa matumizi, back in 2000's karibia kila Club duniani ilikuwa inatumia same formations za 4-4-2/4-5-1, then kwasasa the most used formations ni 4-2-3-1/4-1-4-1/4-4-2-1/4-4-1-1, 4-3-3 is slowly dying kama 4-4-2/4-5-1, though bado kuwa watu wanaipendelea.

And, do your research before quoting my posts, and usitangulize jazba and hate, learn the game and understand the basics. football is a simple and very interesting sport, i post my views for the club i support and my fellow supporters, so kama unaona kuna post hujakubaliana nayo, dip and fanya research then comment on it, otherwise dont bother to quote my posts, its embarrassing.
 
MosDef kuna watu kuwaQuote ni kujipotezea Muda Coz iwapo timu yake imeanzishwa 2004 jiulize hapa Bongo ilipata washabiki lini? Au yeye kaanza kuujua mpira lini? Usijeshangaa kuwa Kaanza kupenda mpira 2010 that is why in everything yupo pointless.

man is filled with a lot of hate and anger.

these "keyboard warriors" takes this football thing so serious

you can see its affecting their lives as well

so sad.
 
Mourinho winning away at Juventus..

your favorite manager did a bottle job against fishermen and part-time supermarket workers

he had 2 top class midfielders on the bench
 
Said it on here

we need to set our minds on Cups

we are not winning the league as long as Pep is there,
 
vishabiki vya haka katimu ni much know sana wakati hamna kitu........



ukweli mchungu "HAKUNA KIJANA ANAYESHABIKIA LIVERPOOL KINDAKINDAKI MAANA WASHABIKI WA LIVERPOOL NI WAZEE NA VITOTO".

fanya uchunguzi utaelewa kwanini ......

A very clueless point.

this platform is losing its credibility kila siku..

what even the point of this post?
 
Europa League.......... Kuanzia kesho nianze kuitazama sasa niizoee mapema kwa sababu hakuna namna tena

its still in our very own hand..

first, regardless of what happens in the next matchdays, if we beat Napoli by 2 goals we will go through.

Second, if we beat PSG at Paris we will go through with one game in hand, if we draw against PSG at Paris we'll need to beat Napoli at home (read: first), and if we lose at Paris, again we will need to beat Napoli at home (Read: first).
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom