Kumbe Pepjin baada ya kurejea alibadilishiwa role!
Hizo habari nimesoma jana kwenye 'daily star' ila ata hivyo niliona habari nyingi walizoandika kuhusu LFC ni negative tu hakuna ya kuje. Mara 'Mo Salah is unhappy at LFC'.. Man alot of crap up there.![]()
Sawa,Mungu-Mtu wako Ancelotti alishinda Serbia
That's my opinion too, i told you that i can not find anyone who will do more than what Klopp is doing ATM.Lijnders ndiyo ame-cover role ya Buvac now..
specialized kwenye "Passing" patterns..
Salah is happy at LFC, and he is in very good shape..
no fan with his right mind atataka Klopp kuondoka now at LFC, he is perfect for the job to be fair man..
need to adjust himself more man. thats it
That's my opinion too, i told you that i can not find anyone who will do more than what Klopp is doing ATM.
We need to be patient, Rome wasn't build is a single day.
Mm najua kuna matokeo ya ajabu mengi tu ktk soka yamewahi kutokea hapa duniawhats your point then?
so kama yeye hakushinda, ndiyo inahalalisha Mungu-mtu wako Klopp na LFC kufungwa?
Ingekuwa Hendo au Lovren ka flop vibaya kama vile na Arsenal hapa watukana wachezaji pangefurika
Fabihno kacheza hovyo sana lkn sisi tunao support team no matter what huwezi ukakuta tunamlaumu Fabihno
Tumefungwa jana Hendo au Lovren wanyonge wenu walicheza?
Liverpool ikifanya vibaya kama jana ndiyo inahitaji support zetu zaidi kuliko siku imeshinda
Mm najua kuna matokeo ya ajabu mengi tu ktk soka yamewahi kutokea hapa dunia
Denmark walichukua Yuro out of the blue
UK aliwahi tolewa na Iceland
Ugiriki kuchukua Yuro
Liverpool kufungwa na Belgrade
Ni maajabu kweli lkn yanatokea mara nyingi tu ktk soka na Liverpool sio special
Ktk stats zake za kwanza hizo hakucheza na yytHendo and Lovern been shit for over 4 years now..
that was only Fabinho bad game after only 3 starts..
you dont see reasonable fans moaning about Millie, because he has improved a lot under Klopp, and he is the core of the team..
what do Hendo and Lovrena actually do to deserve praise?
besides ungeonekana kituko sana kama ungemponda Fabinho as he was deployed kwenye formation ambayo Klopp mwenyewe alishasema haimfai Fabinho ndiyo maana akawa anashindwa hata kumchezesha moja kwa moja, hao gods wako kina Henderson wanacheza kila siku kwenye prefered positions na formations na hatuoni productivity yeyote ile.
unaishia kutamba kuwa winning trophies ni collective efforts, ungeshinda basi hayo makombe matatu uliyoyakosa for the last 12 months kama winning trophies ni collectove efforts, mediocre players wont win you anything, been that way for years.
Supporting the team no matter what?, wakati ulikuwa wa kwanza kupiga makelele humu rodgers afukuzwe na juzi tu hapa ndiyo ulikuwa unaongoza kumponda Karius humu na makelele kibao afu unakuja kutuambia una-support team no matter what. punguza unafiki wewe.
Nakuambia tu kama alicho fanyiwa Liverpool jana sio kigeni ktk soka!hayo matokeo ndiyo yana-justify LFC kufungwa jana?
kwahyo tukitolewa CL kwenye group stage itakuwa ni sawa tu kwasababu ya hayo matokeo ya ajabu?
so its so ok kwa watu kutekwa Tanzania, kwanini Nchi zingine nazo zinateka watu?
Ktk stats zake za kwanza hizo hakucheza na yyt
He didnt play with nobody,kucheza na Hudd uking'aa ndiyo umeiva?
Mtihani wake wa kwanza na team nzuri Arsenal kashindwa
Lkn bado tupo nyuma yake tuna imani atakuwa better zaidi na hii ndiyo tofauti yangu na nyie
Kum discredit Klopp sababu kafungwa na trashies jana si sahihi pia
Nakuambia tu kama alicho fanyiwa Liverpool jana sio kigeni ktk soka!
Je ni matokeo yanayouma?Yes it is yanauma sana
Tufanyeje?Twende behind ya team,tujipange kwa mechi zijazo
Liverpool HAIWEZI shindwa fika sweet 16 CL
During the start of the 2018-19 campaign John Barnes suggested Klopp should give up on Cup Competitions and focus mainly on the League. Did you hear that?Agreed man..
for the mean-time, we need to camp more kwenye Cups and see if we can salvage any, then build ourselves from there..
Nashukuru tu kuwa unakubali kocha anaweza badilisha formation wakati wa sub.From 4-3-3 to 4-2-3-1 tayari hiyo ni form nyinginehamnaga hicho kitu..
4-5-1 haiendi bila wings, how umtoe winger kwenye 4-4-2 afu ugeuke kwenye 4-5-1 ambayo hai-work bila pacey wingers?
ukimtoa winger kwenye 4-4-2, unamaintain the same formation, but shape inaswitch kwenye "x-mass" tree/triangle shape
because kama umemtoa winger na kumuingiza, beki/forward/cm. winger anaebaki anakuwa anacheza kama inside forward, so team nzima inatumia middle path kupenetrate mipira..
and Shape haina "numbers' kama formations, bali unatumia "heat map" kujua shape ya team..
kocha anaweza akaanza na 433 but later akabadilisha kwenda 4-2-3-1 kulingana na wachezaji watakaongia..
at LFC, klopp atacheza 433, but akimtoa Lallana na kumuingiza Ox or Milner, atabadilsha shape ya "goals event" but siyo formation, but kama atacheza 433 na baadae kumuingiza Fabinho, it means aterevert back kwenye double-pivot hivyo itamfanya abadilishe mfumo mzima kuendana na pivot ya kwenye midfield and not just shape,
formations, zinapangwa kulingana na strength ya players, kuna players ambao technical side yao haiwaruhusu kabisa kucheza kwenye formations za 433/343/4-5-1/4-2-3-1 etc
For such a hardworking assistant ni pengo kubwa kumkosa kwa Klopp maana matokeo ya sasa inaonyesha pengo lake lipo..ishu ni Klopp being Klopp he will never strech his hand for reconciliation n too bad maana hata replacement wa Brain sio like for like...Klopp losing Buvac siyo ishu ndogo kabisa..
they have been together for more than 10 years, even Klopp said Buvac was handling 200 training drills whilst Klopp was handling only 100 drills, ni big loss to be honest.
si unakumbuka, Benitez pia was never the same baada ya kumpoteza Paco.
we just need to try something new now. and see if it will work.
Mwaka wetu huu.....in malafyale voice.
Hiii sikuiona mkuu... Asante kwa kuineemesha siku yangu


