Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Habari zilizopo tutaondoka midaa ya saa nne usiku uelekeo jijini Manchester.

Watakaosafiri wajiandikishe kwa cute b.

Mnaombwa kuhakikisha hatujaacha kitu huku maana vifaa vyote vitahitajika huko.

Mkuu southern highlands tutaomba uendelee kutuazima maturubai yako.

Mkuu eden kimario yale masufuria tafadhali.

Mkuu titration tutaomba uandike historia/wasifu wa marehemu.

Mkuu Goodluck Mchika utashughulikia ulinzi tuwapo msibani

Wakuu Malafyale, mosdef, AdvocateFi kama mtakuwa na nguvu tutawaomba kwa huduma ya kulia.

Mkuu Jasho La Kuku tutaomba uratibu PA systems.

Msiba wa leo utakuwa mkuu kuliko wa jana, tunaomba tujipange vyema kupepea na kumwagia maji wafiwa.

Cheo hicho duh
 
hahahahahaha tunakusubiri huko FUTUHI ...........eti hamjazoea kufungwa wakati katika maisha yangu tangu nizaliwe mpaka leo hii nimeoa na nna familia yangu ila sijabahatika kushuhudia hawa LOSERFOOLS wakichukua EPL sasa sijui inakuwaje kama mnafeli kuchukua kombe ila mnakuwa UNBEATEN hahahahahahah hii ni comedy

Kwa taarifa yako tu! Liverpool ndiyo Club pekee ya uingereza inayoshika record ya kuongoza kubeba Vikombe vingi vya EPL, ikifuatiwa na Man U, Pia Liverpool ndiyo Club inayoongoza kubeba UEFA kwa club za Uingereza.

Kutokuona Liver ikibeba kombe basi utakuwa ni mtoto wa juzi, Ila kwa taarifa tu hapo 2005 Liver ilibeba UEFA na 2006 ilibeba FA.

Kwahyo pengine umezaliwa kuanzia miaka ya 2010, sad news mwaka huu Liver inaenda kubeba EPL na UEFA.
 
Liverpool mnasikitisha sana, yani pale mbele akikamtwa mo salaha timu haipumui
 
Kwa taarifa yako tu! Liverpool ndiyo Club pekee ya uingereza inayoshika record ya kuongoza kubeba Vikombe vingi vya EPL, ikifuatiwa na Man U, Pia Liverpool ndiyo Club inayoongoza kubeba UEFA kwa club za Uingereza.

Kutokuona Liver ikibeba kombe basi utakuwa ni mtoto wa juzi, Ila kwa taarifa tu hapo 2005 Liver ilibeba UEFA na 2006 ilibeba FA.

Kwahyo pengine umezaliwa kuanzia miaka ya 2010, sad news mwaka huu Liver inaenda kubeba EPL na UEFA.
Unalijua EPL wewe
 
Poleni majogoo napoli atamaliza na point 7 Pia nyinyi mtamaliza na point Saba, psg 11 mtatoka kwa H2H na Napoli
 
Habari zilizopo tutaondoka midaa ya saa nne usiku uelekeo jijini Manchester.

Watakaosafiri wajiandikishe kwa cute b.

Mnaombwa kuhakikisha hatujaacha kitu huku maana vifaa vyote vitahitajika huko.

Mkuu southern highlands tutaomba uendelee kutuazima maturubai yako.

Mkuu eden kimario yale masufuria tafadhali.

Mkuu titration tutaomba uandike historia/wasifu wa marehemu.

Mkuu Goodluck Mchika utashughulikia ulinzi tuwapo msibani

Wakuu Malafyale, mosdef, AdvocateFi kama mtakuwa na nguvu tutawaomba kwa huduma ya kulia.

Mkuu Jasho La Kuku tutaomba uratibu PA systems.

Msiba wa leo utakuwa mkuu kuliko wa jana, tunaomba tujipange vyema kupepea na kumwagia maji wafiwa.
Hahaa.. Mkuu nimechelewa ila kwa hakika maturubai mmepata. Natuma na vijana wayalete. Hapana shaka tutaomboleza pamoja na wafiwa
 
Hahahhahahaha daaaaaahhhhhhhhhhhh.
"Unategemea urithi mshua kapata nafuu"
Mkuu watangazie kabisa wale washibe maana kuna uwezekano mkubwa sana mgonjwa akapona, na msiba ikawa postponed.
We are UNITED
Hahaa.. Hii ya msiba kuwa postponed sijawahi isikia. Msiba msiba tu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom