We unaota ndoto za mchana rafiki yangu na labda hujui mpira ila wewe ni mshangiliaji wa mpira tu.sasa kwa kundi lipi hilo Liverpool ashindwe kufuzu au kufungwa na Napoli away ndo tatizoIzo za marudiano unaweza shinda moja tu.
#Alhamisi_inakuhusu.
We unaota ndoto za mchana rafiki yangu na labda hujui mpira ila wewe ni mshangiliaji wa mpira tu.sasa kwa kundi lipi hilo Liverpool ashindwe kufuzu au kufungwa na Napoli away ndo tatizoIzo za marudiano unaweza shinda moja tu.
#Alhamisi_inakuhusu.
Mzee baba una ichukuliaje arsenal!? hzi sio zama za wenger mzee, we kaa na kalamu na daftar karibu u note mambo ya lacazete mkamuambukize firmino afanye na yy, ule ugumu wa torreiara utapata kwa Nani pale liver msituchukulie poa timu kama PSG tangu lini ikatusumbua,. We ngoja November tukutane ndo mtatusoma kwa kichina
Utawafunga hao hao.Mzee baba una ichukuliaje arsenal!? hzi sio zama za wenger mzee, we kaa na kalamu na daftar karibu u note mambo ya lacazete mkamuambukize firmino afanye na yy, ule ugumu wa torreiara utapata kwa Nani pale liver msituchukulie poa timu kama PSG tangu lini ikatusumbua,. We ngoja November tukutane ndo mtatusoma kwa kichina
Ata nyie na haohaoUtawafunga hao hao.
Bora hata chamberlain timu ilikuwa na spidi ya ajabu akiwemoLiverpool imekosa kiungo mwenye ubunifu
Keita, farbihno, Chamberlain Henderson wote wanafanana kiuchezaji
Hahahaha we jamaa bana King NgwabaArsenal nao wameshaanza kuongea?
Kweli maisha yanakwenda kasi.
Kwahyo ndugu kuona umemfunga Fulham 5 basi ukadhan maisha ni mteremko tu, sio? Wew mwenyew unakumbuka ulivyoanza na zile timu kubwa nn uliambulia, hata draw ulikosa. Mpaka sasa Liver haijapoteza mechi yoyote kwenye league, uje utufunge ww Arsenal.Ata nyie na haohao
They didnt play with NOBODYMzee baba una ichukuliaje arsenal!? hzi sio zama za wenger mzee, we kaa na kalamu na daftar karibu u note mambo ya lacazete mkamuambukize firmino afanye na yy, ule ugumu wa torreiara utapata kwa Nani pale liver msituchukulie poa timu kama PSG tangu lini ikatusumbua,. We ngoja November tukutane ndo mtatusoma kwa kichina
Mechi za mwanzo tulikua atuja settle sahv tuko vzuri we subr mwez wa 11 sio mbali mtauona motoKwahyo ndugu kuona umemfunga Fulham 5 basi ukadhan maisha ni mteremko tu, sio? Wew mwenyew unakumbuka ulivyoanza na zile timu kubwa nn uliambulia, hata draw ulikosa. Mpaka sasa Liver haijapoteza mechi yoyote kwenye league, uje utufunge ww Arsenal.
Haya.Mechi za mwanzo tulikua atuja settle sahv tuko vzuri we subr mwez wa 11 sio mbali mtauona moto
Sijui kama watu wengi wameligundua hiloNikivuta Kumbukumbu Zangu Basi Jana niligundua Kuwa Katika Kipindi Cha Misimu 3 iliyopita basi Jana Ndiyo Siku tuliyocheza na Man City Nyepesi Zaidi kufungika.
Lakini Hatukuwa na Wafungaji.
Kumbuka tumepishana nao point mbili tu hao ArsenalThey didnt play with NOBODY
Hizo mechi walizo shinda wamemfunga nani?
Arsenal BADO haipo level moja na Liverpool
Tuwe wakweli jamani
Jana Sikuona tofauti ya Uchezaji wa Keita na Lallana, Nadhani kama Keita akipewa nafasi atakuwa ni Key player kwenye style ya Klop..Sijui kama watu wengi wameligundua hilo
Kiukweli Klop apajenge pale kati pasukume mbele sio mbele pasaidie katikati.
Wangekamilika wangetuabisha na uzuli gudiola hajiamini kwa Liver