MLA PANYA SWANGA
JF-Expert Member
- Jul 31, 2015
- 5,186
- 5,455
Yanawahusu kwa sababu mazoezi yote mfanyayo ni kwa ajili ya kuzifunga timu za uingereza na ulaya na arsenal ikiwemo. Na bado mtajuta.Kila timu na project yake ya arsenal yanatuhusu nini sisi?
hahahahahahahahahahahahaha hakuna timu isiyofungwa duniani mkuu so tulia kunywa maji ya kutosha coz mapambano yanaendelea wewe kufungwa kamechi kamoja tu unataka kutimua kocha wachezaji duh hao wamiliki wenyewe waliowekeza pesa zao hawalifikirii hiloYani Namshauri Mane asije akajaribu Kusaini Mkataba Mpya kwa Timu hii.
Mwenzio Coutinho ana akili kwelikweli kutafuta Njia ya kutokea mapema kabisa.
Awaachie Kina Lallana timu yao.
1.liverpool walicheza mpira mzuri msimu uliopita msimu huu wanacheza vibaya na wanashindahahahahahaha nimecheka sana hivi unaanzaje kumpigia hesabu mchezaji wa OLIMPIC LYON na wewe katika benchi una wachezaji lukuki huku ndio KUPATWA KWA SOKA
kweli kabisa na huu ndio ukweli mchungu1.liverpool walicheza mpira mzuri msimu uliopita msimu huu wanacheza vibaya na wanashinda
2.Kilichowasaidia Sana ni uwepo wa Allisson & Van Dijk wamesaidia kupunguza makosa kama wasingekuwepo wangekuwa wameshafungwa hata mechi 5 so far
3.Pia waliamini kuwa viwango vya Keita +Fabinho walivyoonyesha kwenye timu zao basi watacheza the same wakasahau kwamba hii ni EPL wachezaji wengi wakija wanastrugle
4. Ile front 3 yao wanaonekana wote wamechoka ndio maana wamefunga magoli machache msimu huu
5.Kama Van Dijk,Robertson,Salah,Mane, Allison wakipata majeruhi Liverpool wata-strugle Sana unless wasajili wachezaji January
Jogoo koko hili[emoji23][emoji23]Nimepishana na mzimu wa marehemu..
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 924124
Jamaa walishajiwekea points 6 paleJogoo kapigwa na kifaranga[emoji23][emoji23][emoji23]
Pole, mkuu si wa kuwaamini sana hawaDaa wamechana 150k
Jamaa akishakuwa na mashindano mengi anakuwa na mchecheto sanaKlap kauza game!
You Will Never Win Anything
HahahahaaaaWafiwa mnaendeleaje?
Jamani tunataka kutoa maturubai tuhamishie jijini Manchester hapo baadaye.
Whatttttttttttttt??????Wafiwa mnaendeleaje?
Jamani tunataka kutoa maturubai tuhamishie jijini Manchester hapo baadaye.
Huo ni mzukaa😂😂😂Jogoo koko hili[emoji23][emoji23]
Bos MOU hanaga kuuzisha sura 2 times mkuu... Kumbuka wkend pia anakibarua cha kuweka heshima mjini.... Dont take it easyWafiwa mnaendeleaje?
Jamani tunataka kutoa maturubai tuhamishie jijini Manchester hapo baadaye.
Man utd,Liverpool na Tottenham ,hapo lazima wawili kati ya hao watadondokea kwenye FUTUHI.
Lile picha la kibongo waliliita nni vile? Akina jini Kabula[emoji23][emoji23][emoji23]Huo ni mzukaa[emoji23][emoji23][emoji23]