Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Mwanangu viungo Gini, Milner, Hendo hadhi yao wote kutokea Sub sasa kocha wetu ye lazima Gini awepo, na lazima kati ya Hendo au Milner awepo. Watu kama Lallana, Hendo ni wa kuuzwa. Kocha muoga anawaogopa waingereza
Nishamshusha vyeo kocha huwezi kutumia pauni 100+ mil kuweka benchi
 
tungeweza kudiscuss kuhusu blunders za Lallana na Gini kwenye magoal ya Red star, but kuna top red atasema ni agenda kwasababu nina "chuki"

some "football experts" on this platform are so laughable.


Gini mi simkubali, ni mchezaji ambae naona alifaa kutokea benchi halafu angechezeshwa Attacking midfield. Tunamweka namba sita mtu ambae ni mzito kuachia mipira
 
dah cjui tutakimbilia wapi huko europa napo ndio balaa kuna chelsea,arsenal na bado man united na atletico wanaweza kutufata
Hahahaha mbna unalia lia ..klopp wenu alisema ahojiwe baada ya miaka mitatu.

Enewei sisi hatuna hiyana karibuni sana maana mlipaita Futuhi but soon mtapaita EUROPA.
 
Asanteni majirani kwa kuja kushiriki nasi kwenye huu msiba.. Bila nyie msiba ungekua mzito sana...
 
Very disappointed with first half display
Sa nyingine huwa siamini kama kuna kikombe chochote tutakuja kushinda kwa kocha huyu....very poor team selection


Kamweka kiungo mholanzi mmoja anajua kutembea na mpira ila mchoyo,mgumu kuachia pasi muhimu kisha akaweka kiungo mmoja muingereza umri umesogea anajua kukaba ila hawezi kudrible na muingereza mwingine kijana ye anakabaga tu siku hizi
 
England this tym inatia huruma sana kwenye UEFA naona Tottenham kashapigwa cha mapema kbsa. Only Man City anaweza kutuwakilisha vema
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom