Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Siku utakayofahamu kuwa Kujibizana na Rant Boys Wa Chelsea Ni Kupoteza Muda basi utajifunza kitu kikubwa sana.

Haileti Mantiki Mshabiki Wa Timu iliyianzishwa 1892 kujibizana na Mshabiki Wa Timu iliyoanzishwa 2004.
Wewe timu imeshajifiaga Siku nyingi

Imebaki historia tu.
 
Robo ipi hio unayoongelea wewe! Wewe umetolewa na barca hatua ya mtoano kama manu! Barca katolewa robo na roma!
Mimi nmetolewa raund ya 16 lakini kiwango cha pesa nilichoingiza so haba £57m ..smbapo ningefika hata semi final ningekupita tayari.
 
Humu ndani vikombe vyao wameviona kupitia youtube,anayemkaribia hazard kwa kubeba medal trophies ni kijana wetu sturredge tu, team nzima wachezaji hawajui vikombe ni nini ,kushiriki wanaweza kushinda sio lengo lao
Wanashangilia ushindi wa magoli usiyo na faida yeyote..
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom