Asprin
Platinum Member
- Mar 8, 2008
- 68,272
- 96,398
Sawa kabisa... mpaka sasa match iko draw ya 4 - 1.Liverpool sio timu ya ushindani.
Hii game inaisha draw.
Sawa kabisa... mpaka sasa match iko draw ya 4 - 1.Liverpool sio timu ya ushindani.
Hii game inaisha draw.
Asante Mkuu ,wafungaji Nani ?Maneeee!
4 - 1
Salah, Mane, Shaqir, Mane...Asante Mkuu ,wafungaji Nani ?
Sema tena tukusikieeeeSadio Mane Azidishe Mazoezi
Sema tena tukusikieeee
Clean sheet yetu imeharibiwa kijinga sanaDah! Goli tuliloconcede limeniuma sana.. Hatukustahiki Kuconcede kwenye hii game.
Inauma sana lkn ni deflection huwezi fanya loloteInauma sana hilo goli moja japo ni bahati mbaya
Tukubaliane kutokubalianaMkuu hili halitaki ushindani wala mapenzi! Kipindi cha mwanzo Mane Kacheza ovyo sana.
Alipoingia Xhaqiri ndiyo kaubadilisha Mchezo.
Hongera sana mzee wa boma. Leo mmejitahidi..Sawa kabisa... mpaka sasa match iko draw ya 4 - 1.
actually, we bought Fabinho for £40m
robbed Monaco man..
what a bargain..
Surely. Hata kwa Shaq ni one of the most bargain we have ever made.actually, we bought Fabinho for £40m
robbed Monaco man..
what a bargain..
na kelele zote hizi damn pathetic bila mrusi hawa wangekua mchangani Coco Cola..Giggs miaka 44 Makombe 35
Chelsea miaka 112 Makombe 26