Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Robo ipi hio unayoongelea wewe! Wewe umetolewa na barca hatua ya mtoano kama manu! Barca katolewa robo na roma!

Siku utakayofahamu kuwa Kujibizana na Rant Boys Wa Chelsea Ni Kupoteza Muda basi utajifunza kitu kikubwa sana.

Haileti Mantiki Mshabiki Wa Timu iliyianzishwa 1892 kujibizana na Mshabiki Wa Timu iliyoanzishwa 2004.
 
Haileti mantiki kabisa wafu kujibizana na walio hai team ilianza 1892 ikafa 1990 ,na nyingine ilianzishwa 2004 mpaka sasa iko hai mashabiki wa team hizi hawapaswi kubishana kabisa naunga mkono hoja.
 
Humu ndani vikombe vyao wameviona kupitia youtube,anayemkaribia hazard kwa kubeba medal trophies ni kijana wetu sturredge tu, team nzima wachezaji hawajui vikombe ni nini ,kushiriki wanaweza kushinda sio lengo lao

Xhaqiri kachukua:
Ligi ya ujerumani ×3
Ligi ya swiss ×3
German cup ×2
Swiss cup × 2
UEFA
CLUB WORLD CUP
UEFA SUPER CUP

Siku nyengne ufikirie vya kuongea sio unaropoka tu. Ila sikushangai mana dp yako na tabia ya uropokaji vinaendana‍♂️
 
Nakubaliana na Peter Crouch kuibuka kwa Xhaqiri Ni kuifanya Front 3 yatu Kuwa kwenye danger kwani Xhaq will force himself to the starting line-up..
So, one of our front 3 ataekwa juu na Xhaq kwani Xhaq anabidii na Ni mbunifu anapokuwa kwenye box ya Opponent.
 
Kikosi sio Kibaya Klopp kaamua Kuwapumzisha Gomez na Robertson.

Starting LineUp:
Alisson, Alexander-Arnold, Lovren, Van Dijk, Moreno, Fabinho, Wijnaldum, Lallana, Mane, Salah, Firmino.

Substitutes:
Mignolet, Matip, Gomez, Robertson, Milner, Shaqiri, Sturridge
 
Klopp kamuanzisha bench leo
Kati lovren na vvd
Kushoto ndo kaniacha hoi kabisa
 
Kwa nn awapumzishe?
Hatuna uefa this week
Kwa nn isicheze strongest xi yetu leo then wapumzike?
 
Klopp kamuanzisha bench leo
Kati lovren na vvd
Kushoto ndo kaniacha hoi kabisa

Mkuu Kikosi Cha Leo Hakikupangwa Kwasababu ya Uwezo Wa Wachezaji! Bali Ni Rotation Kwani Hapo Mbeleni Tuna msongamano Wa Mechi na Kumbuka Kuwa Next game Ni Arsenal.

So, Kwaleo Usilalamike sana Kwani Hata Mecgi yenyewe Ni Nyepesi tu.
 
Nina mashaka na Moreno, siku nenda siku rudi anafanya makosa yaleyale.. Ngoja tuone huenda kabadilika...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom