Mambo mazuri huku Liverpool
Moja bila.Ngapi ngapi?
ivi huu uchezaji Wa Lallana ninauona Mimi tu kuwa Ni aimless and meaningless au na nyinyi munauona?
Lallana ni mchezaji wa kuingia dakika ya 75 kipindi tunaongoza 3 au 4 bila ila sio mchezaji wa kubadilisha matokeo
Kwel kabsa forward hawako serious hii gem ingekuwa imeshaisha kipindi cha kwanzaWatu hawako serious golini
Kwa hali hii kumpata man city kwa magoli itakuwa ngumu kama point zitakuwa zinalingana