UTAWADANGANYA WASIOFUATILIA MPIRA.
1. Uliposema tu, "...he was running a lot and hook aimeless long balls to Salah" nilijua ni chuki binafsi. Mechi hii ya juzi tukubali tu kuwa Salah alishindwa ku-control passes alizopewa na sio tu na Henderson. Hata shabiki mwenzako
King Ngwaba alikiri hilo.
2.Hiyo sentensi ya VVD kuhusu Henderson umeichukua out of context halafu unatuaminisha kuwa alikuwa akiongelea mpira. UONGO.
Kwa kukusaidia, VVD alikuwa akiongelea Hendo kutaka kushiriki kwenye michezo ya basketball wawapo Melwood. Alipoulizwa kuhusu uwezo wa wenzake ndipo akajibu kuwa, "...likes to join in but he’s not that good..." Alisema maneno hayo hayo juu ya Lovren ingawa alimsifu Lovren kuwa pamoja na kutokujua, ni mpambanaji.
The problem is, i watch football kwa falsafa ya kusee out the game not just to enjoy it..
I’ve witnessed midfielders kama sousness/Hamman/Alonso/Mascherano/Meireles/SG play for this club..
And i have read your verdict about Henderson, na nikagundua kuwa perception yako ya kimpira ni ndogo sana, hasa uliposema kuwa hendo kupiga sideways passes ni kawaida kwasababu tu ni namba 6, so its very clear to me kuwa hujua roles za modern number 6, and its so sad because kwenye team yako una modern number 6 anakufanya ucheze mpira wa kueleweka mpaka sasa, sad really.
How can you watch ferna (33 year old) perfomance against us and come up with conclusion kuwa Hendo was good? Kwa upande upi Hendo alikuwa good? Did he dominate spaces? Did he close down City’s penetration angles? Did he provide the necessary drive kwa Gini and Milner/keita? Did he attempt any pass between the lines to open up citys defense and unlock Robbo? And how was robbo siku ile? When a full back cant attempt a single overlap nani anatakiwa kuwa blamed? A number 6 should make sideways and back passes because ni number 6? Upo age gani ya mpira?
In modern day footie, number 6 ni base ya team, number six ndiye anayetengeneza structural play ya team from the mid, making sideways passes kwa ajili ya kuhold possession kunasaidia nini kama hakuleti madhara kwa lango la adui? possession play imeisaidia nini LFC Kwenye last four games? unaelewa kuwa creativity inaanzia kwenye base ya midfield? Kama your number 6 hana creativity how can you be able to open the lines? unajua ni namna gani Sarri ananufaika na line-breaking passes za Jorginho? Where was henderson when he came up against Jorginho?
Una-measure vipi ubora wa hendo against City? Kwa sideways passes? LFC inahitaji creativity now, una-offer vipi creativity from the mid kwa sideways passes? Mipira mingapi imemfikia robbo jana ambaye ni main creator kwa upande wa kushoto? Did we have any open play chances?
Watch football with your eyes open, and i’m sure you dont even understand how creativity from the mid works, LFC dont have a number 10 now, so tunadepend zaidi na creativity ya kwenye kiungo, sasa kama the entire midfield haina creativity front-3 itawork vipi?
Last season, we had coutinho mpaka january, alivyoondoka, Ox came into the picture, Klopp changed the formation, from 4-4-2 kwenda 4-2-3-1/4-3-3 ili ku-allow agility na quick transitions from the midfield kwa kutumia short passes na pace ya Ox, hence tuliendelea kuwa na creativity nzuri sana, after Ox got injured, we started to struggle a bit, but it was ok kwasababu the entire front-3 especially Salah alikuwa kwenye form of his life, we started this season na Keita as our creator from the middle, he created loads if chances against West ham, and helped us a lot against Crystal palace, he struggled a bit, but again Klopp thought it was the best kucheza na mid-3 iliyozoeana against PSG/Napol/Chelsea/Man city, since then we have won 1 game against PSG, lost against Napol and drew with Chelsea and City, games zote hizi creativity ilikuwa ni suspect.
After that game against City, i watched Sousness in live TV saying kuwa we dont have creativity kwenye team, but Craig Bellamy went further na kusema kuwa base yetu ya midfield ni tatizo kwasababu haina creativity, because modern game inahitaji creators from the middle, thats Pep deploys two number 10s kwenye his mid-trio..
You watch Arsenal now and see how Torreira plays, thats a modern number 6, creating and pressing from the middle, and huwezi kukuta an intellegent number 6 anapiga aimeless sideways passes unless akiwa under pressure or in tight spaces.
Running a lot and covering ground distance kwenye pitch without open up opponent midfield and creating spaces from your team mates ni upuuzi, hendo cant receive a ball between the lines, cant receive the ball in tight spaces, cant turn under pressure, cant hold the ball hata kwa dakika moja, cant hide the ball, cant shied the D line, cant postion himself.
And its funny, because you acting like you know Hendo more than me, i have watched him since 2011, and i can tell you today, Henderson main attribute as a player ni kucover ground distance by pressing from the back to the midfield na kupiga triangle passes, and tangu apate back-heel injury attribute yake ya kwanza imepotea kabisa, and now anacover distance from the mid tu na hana uwezo wa kupress anymore, amebaki na attribute ya triangle passes tu ambayo haisaidii team? I dont like Henderson hata kidogo but leo hii ukiniambia kuwa nikutajie wachezaji watano tu walioplay part kubwa ya msimu wetu wa 2013/14, Henderson nitamuweka kwenye list because he was the focal point of our pressing play and he was good at it.
And unasema nina chuki binafsi na Hendo, the fact is i’ve never hated Henderson at all, i’ve been saying on here kuwa he’s a good person but not a good footballer but kama his poor footballing ability inacost team lazima niseme, matter of fact hata my favorite LFC player kwasasa akiwa anazingua lazima nitaongea, kwangu mimi my Club comes first, i support LFC not players or the manager, and kama ungeniambia nina chuki binafsi na Mignolet or Archterbeg ningeweza kukuelewa kidogo, but not Hendo, he’s just not a LFC Standard player, yes kwenye team yetu kuna a lot of players ambao siyo standard ya LFC, but the fact kuwa Hendo anapata ukosoaji mkubwa na sticks ni kwasababu ni CAPTAIN, and as a CAPTAIN you have to show the fans that you can lead the team no matter what, Siwezi nikavumilia kuona Captain wangu anadrop 4/10 perfomances every week na ukichukulia yuko kwenye role ambayo ndiyo focal point ya team.
man, you have watched Salah play against City, and you came up with the conclusion that he was shit kwasababu haku-score, this is why niliona verdict yako kwa Hendo kuwa ni mbaya kimpira, Salah was our main creator against City, he was involved na kila chances ambazo tulijaribu kutengeneza, and his positional play was on point, Mane and Bobby were poor but not Salah, see the game Aisee dont just watch it.
LFC main problem now, ni creativity, ndiyo maana legends kama Sousness wanamshauri Klopp ajaribu kuditch formation ya 4-3-3 kwasababu mid yetu haina urgency yeyote and our agility play bado ni ndogo because we have no pace and ball driver in the middle.
Understand the game.