Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Wewe unakomaa kwa wakubwa, mwisho wa siku unaanza kugombania top 4 ,

Huyo man city amenipiga ,now kaniacha point 2 ,

Kwahiyo usidhan ubingwa lazima nishinde big game zote,

Ubingwa ni mahesabu kama haya kupiga hawa watoto, wakubwa ni target tu,

Wewe hujiuliz why liva anakomaa kukaza kwa wakubwa lkn mwisho anaanza kuwa na mashaka na kupata hata top 4?
Baba kwan tulioanza nao league ni wakubwa? Habari yao unayo, walikula ngapi ngapi?
 
Usijiongopee mkuu, hauna timu ya kuchukua msimu huu. Ndo tatizo ya kufungafunga vibonde, ukishapiga vinne wajiona league yako. Na kwa taarifa yako Liver haijapoteza mechi yoyote ya league. Imefanikiwa kutoa draw na chelsea na Man city, so you expect ikazuiwe na Arsenal au Fulham?
Hao unaowaona wabovu ndio wanaokunyimaga ubingwa toka mwaka 1990,

Arsenal kacheza mech ngumu, lakin now anakupumulia point 2,
 
Nyie si mna miaka kumi na tano sijui kama sisi, Arsenal anaweza mcheka Tottenham au Man City na sio Liverpool kijana

Arsenal kumcheka Liverpool kwenye mataji ya EPL ni kama walala hoi wawili mmoja ana buku mbili na vimiamia akamcheka mwenye buku na vimiamia mfukoni
He is funny.
 
Usijiongopee mkuu, hauna timu ya kuchukua msimu huu. Ndo tatizo ya kufungafunga vibonde, ukishapiga vinne wajiona league yako. Na kwa taarifa yako Liver haijapoteza mechi yoyote ya league. Imefanikiwa kutoa draw na chelsea na Man city, so you expect ikazuiwe na Arsenal au Fulham?
Unazungumzia kutokupoteza ,hata chelsea hajapoteza, wewe ni swala la muda, tu kwasasa Fab3 yako imeshachuja, inamaliza mech na shut on target 0-2

Salah ndio kafikia hapo
 
Wewe man u mtabe wako mmeshakutana naye?

Usiongee kishabik, man u ukitoa msimu uliopita, nyuma nilimpiga 3-0 ,wewe sikumbuk ulimfunga lini

Unamuongelea salah huyu aliyeflop?

Salah mwaka jana ilikuwa suprise package,

Huyu wasasa ndio salah mwenyewe, yule wa roma tunayemjua ,

Wewe unadhan ligi ni maandaz, hujiuliz uliniacha point 6, sasa hiv zimebaki mbili,

Na gar lishakata breki,

Hii arsenal ya Unai sio ya wenger

Nakumbuka Unai kila game anabadilika na anajua kuwasoma wapinzani,

Kumbuka klopp alichofanywa na UNAI fainal ya Ueropa , Alivyobadilikiwa
Mbona hakubadilika kwa city na chelsea?
 
UNAI alibadilika kwa PSG na Barca, akala ngapi
 
Hao unaowaona wabovu ndio wanaokunyimaga ubingwa toka mwaka 1990,

Arsenal kacheza mech ngumu, lakin now anakupumulia point 2,
Mechi ngumu ipi mzee baba? Si ukapoteza zote? Liver si kadraw na wakubwa vibonde kawapiga ama nn?
 
Kwenye timu yao ninawakubali wachezaji watatu tu: Matteo Gouendouzzi, Ozil na Ramsey

Ukiacha hao Arsenal wana Beki mbovu, Forward mbovu walau kwenye kiungo wapo vizuri
Forward yako nzuri ina magoli mangapi kulinganisha na ya arsenal mpaka sasa?

Wewe jidanganye ,siutakuja emirates ngoja tuone,

Mm liva nilishai term kama timu ndogo sawa na kina swansea,timu gan toka 2011 huna taji lolote hata ngao ya hisani
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom