Rajab_Omar
JF-Expert Member
- May 15, 2016
- 16,480
- 27,185
Liverpool have not conceded a Premier League goal at Anfield for eight months.
Sio 8 mkuu, Ni 9
Liverpool have not conceded a Premier League goal at Anfield for eight months.
City alikuja na tahadhali utafikiri anacheza na fifa pro xi alishindwa kumuanzisha Sane hakutaka kwenda ku attack attack, katusababisha tuone mpira usiovutia KabisaNikivuta Kumbukumbu Zangu Basi Jana niligundua Kuwa Katika Kipindi Cha Misimu 3 iliyopita basi Jana Ndiyo Siku tuliyocheza na Man City Nyepesi Zaidi kufungika.
Lakini Hatukuwa na Wafungaji.
City alikuja na tahadhali utafikiri anacheza na fifa pro xi alishindwa kumuanzisha Sane hakutaka kwenda ku attack attack, katusababisha tuone mpira usiovutia Kabisa
Sio 8 mkuu, Ni 9
Nafikiri game inayofuata Liverpool anapoteza
nimejikuta natafakari sana maoni ya fans kuhusu ku beef up midfield yetu kwa kusajili the so called "creative" players.
it's an OK'ish idea but it stops short of being a brilliant idea pale watu wanapomtaja Fekir. he's a flair player, but it ends there.
Fekir's definitely not an upgrade on Coutinho - for me he's just another French Lallana (stylish) and possibly due to his fitness history (or lack of it) he could be another French Sturridge.
for me, Klopp's "full throttle" doesn't need too much of flamboyance and/or flair. it rather needs industry & intelligence... basi.
our players' industry & intelligence were actually the two key ingredients which catapulted us to the UCL final last season.
and this happened after our so called "creative" midfielder left for Barca. what we mainly lacked across the entire last season was solidity at the back plus the fact that Klopp didn't utilise Wijnaldum to his strengths. msimu huu matatizo yote mawili ameyatatua.
kwenye fixtures zetu 3 tulizocheza recently ambazo arguably could hitherto be the toughest (vs PSG, vs Chelsea, vs Man City), our midfield personnel went toe-to-toe against the star-studded ones from these supposedly very strong sides littered with the so-called "creative" operators. in all these 3 big matches, tumekuwa tukicheza kama mabingwa watarajiwa. it reminds me of the old Fergie's Manure (I disliked the old man but - hey - respect!)
as for our front 3, nahisi kuna very high inner pressure within themselves ya kudhamiria sana ku-reproduce or even ku-exceed ile brilliant performance yao ya msimu uliopita ambayo ilikuwa branded kama "the most frearsome threesome attack in Europe". plus the cautious approach to games Klopp has resorted to at the start of the season. I can hardly figure out any other explanation to their erratic start. I believe however kuwa Klopp ataliweka sawa hili.
another thing that Klopp needs to look into is to avoid over-using Milner. he's 33 for heavens sake - and it's showing already, he's still such an important player to the side lakini inabidi awe anampumzisha walau kila baada ya mechi 1 au awe anampa cameo appearance for like 10-15 mins.
ila mnaopendekeza majina kama ya akina Fekir, etc..... please be careful with what you wish for!
I think such additions may be just good enough to reinforce our depth but - seriously speaking - it's unlikely to impart anything significant over and above what we already have got.
my point exactly!Fekir/ or any other number 10 wangeitransform this team to the whole another level.
Its so evident we lack creativity, tell me when was the last time tume-open opponent teams na through passes?
Messi/Cou consistenty opened up spurs defence with single passes..
And, if we dont need a number 10, we need a player who can help us in quick transition (kama Ox)
After that game against Leicester, i shared my thoughts kuhusu back-passes za hendo zilizopelekea blunder ya Allison..
And since then, i was proved right by VVD and Gomez, ambao stats zinaonesha kuwa hawatoi mipira kwa hendo kabisa hasa akiwa katika tight space (under pressure), VVD anarelease mipira michache sana kwa henderson, (his number 6 and first directional player on the pitch kwaajili ya kupandisha team)..
Remember that live-interview, when VVD alivyoulizwa kuhusu ishu ya team-build up play? Well he said this about henderson
View attachment 891239
LFC fans will tell you Henderson was good y’day because he was running a lot and hook aimeless long balls to Salah. Number 6 ndiye anayedecide team iwe na tempo ya namna gani uwanjani, watu huwa wanachanganya sana kati ya possession na kucontrol mpira, possession huwa inakuwa measured na pass, backline inaweza kuongeza asilimia ya passes kwa kupasiana wenyewe tu, midfield inaweza kucreate a lot of possession kwa sideways passes, kucontrol mpira ni kulimit opponent team inayomiliki mpira kuleta hatari yeyote uwanjani, juzi ferna controled our mid with ease, we did not make a single pass between the lines kwaajili ya kuopen up City’s mid. But apparently hendo alikimbia sana and ended up failing to open or control penetration angles za City’s at all, we were so lucky juzi.
Watu wakisikia DM, wanajua ni kiungo mkabaji tu, mpira ume-evolve now, thats why unahitaji DM anayejua kudrive team na kuset tempo ya game and create line-breakers kwenye mid kwaajili ya Kuwaruhusu AM and b2b kufikisha mipira kwa fowards kirahisi..
Hendo’s positional play is so poor, no wonder game against city, VVD spent his entire game shouting at Hendo kuhusu kujiposition well.. (ningeweza kulink tatizo lililopelekea penalty ya City but i’ll be in big trouble if i speak)