Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,720
Kwanini wasiongee mkuu, liverpool ndio hamtakiwi kuongea maana bado mna struggle kila mwaka, soon mtakuja kulalamika hapa,Arsenal nao wameshaanza kuongea?
Kweli maisha yanakwenda kasi.
Ni misimu mingapi mlisahaulika, ni misimu mingap hamjabeba hata micky mouse cup?
Kwasasa mpo UCL lkn mpo kwenye hatari kubwa ya kwenda europa, msipompiga nje ndan huyo kibonde ,mtakuwa kwenye wakat mgumu sana, tambua napoli na psg watakukazia tu,
Sasa hiv kwenye EPL unapambana na wengi ,hata klopp kasema leo ANAANZA KUIWEKA ARSENAL kugombea ubingwa, tambua ,wenger hakuacha timu mbovu, alishindwa kuenenda na soka la sasa, kwahiyo usitegemee arsenal itakayosafa sana kutoa upinzani,
Game ya nov 3 kat ya arsenal na liver itakuwa ngumu maana arsenal atakuwa mpo sawa au mmeachana point chache,
Subiri baada ya mechi10 zenu ,kama upepo hautawabadilikia basi huu mwaka wenu, lkn kwasasa usiibeze arsenal inakuja kama mwizi