Rajab_Omar
JF-Expert Member
- May 15, 2016
- 16,480
- 27,185
Napoli ilikuwa Zero shot On Target...
Na Leo pia tunaelekea Kumaliza na Zero shot On Target
Na Leo pia tunaelekea Kumaliza na Zero shot On Target
Hao mabutu ndugu yangu labda kwa beki mdebwedo wataweza kuleta madhara..!Nitaona Ajabu Sana Kama Kuna Mshabiki Wa Liverpool Anaamini Kuwa Mane, Salah na Firmino bado Ni Tishio.
Mimi macho yangu yote kwa Henderson nione ni kwa nini mashabiki wanamchukia.Jamani wachambuzi hebu mtusaidie huu mpira wa leo wa Liver una maana gani mbona sijazoea kuuona hivi, umekuwa slow, umepooza wala hauna hata madhara kwa timu pinzani.
Team zote zimepooza mpira. Mpira unachezwa katikati ya uwanja. Tactically wapo sawa. Wanaogopa riskJamani wachambuzi hebu mtusaidie huu mpira wa leo wa Liver una maana gani mbona sijazoea kuuona hivi, umekuwa slow, umepooza wala hauna hata madhara kwa timu pinzani.
Hivi nyie mumenielewa kweli.? Amechukua hayo makombe ni kwa sababu alikua kwenye hizo timu lakini alicheza mechi ngapi. Alipokua Bayern katika misimu yote ni msimu wa kwanza tu ndio alitimiza mechi zaidi ya 20 za Bundesliga. Katoka hapo alikua anakula benchi tu.Huyo shakir unaemtaja anayo champion's league medal![]()
Kacheza timu nzuri cha kushangaza katika umri mdogo ndio akaanza kuflop hapohapo. Kutoka bayern kaenda Inter mara Stoke city.Acha kukalilishwa ..........
Shaqiri ana
DFL super cup 1
Uefa super cup 1
FIFA club world cup
DFB cup 2
Bundesliga 3
Uefa Champions league 1
Narudia Tena Acha kukalilishwa
Naomba hiyo supu uikose walau upate supu ya maharage (droo).Kuna maombi nafanya.
Nina hamu na supu ya jogoo!!
Jamani wachambuzi hebu mtusaidie huu mpira wa leo wa Liver una maana gani mbona sijazoea kuuona hivi, umekuwa slow, umepooza wala hauna hata madhara kwa timu pinzani.
Pengine ni kweli simjui. Labda na wewe hujaelewa nilicho zungumza
Shaqiri humjui kumbe
Ni wapi hamjaelewa. Msiniletee ngonjera hapa.dah mkuu unatudanganya member wenzako wa jf hv bado hujui kuwa no research no right to speak
Jitahidi kukusanya facts kabla hujaandika hasa kwenye hili jukwaa
Mimi macho yangu yote kwa Henderson nione ni kwa nini mashabiki wanamchukia.
Mpaka sasa sijaona kosa alilofanya...Half time.
Game inaenda according to plan. Nitafurahi iishe hivihivi 0 - 0 ila Man city wakishinda itapendeza pia.
Klopp has to change his plan after international break, the whole team has lost!Keita looks so lost kwenye hii team
Hajawa the same tangu game ya west ham,
We blamed brendan Rodgers kuhusu kumchezesha Firmino out of his position, now Klopp anamchezesha Keita nje ya position yake kabisa, sasa unamnunua mchezaji wa nini kama huna mipango nae?
50m na unamtumia mchezaji nje ya position yake, jamaa anaonekana kabisa hajui afanye nini uwanjani and its on on Klopp.
Klopp has to change his plan after international break, the whole team has lost!
Kuna maombi nafanya.
Nina hamu na supu ya jogoo!!