Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Malafyale
IMG-20181004-WA0003.jpg
 
Team sio mbovu
Team ilikuwa na mechi mbaya jana
Napoli sio team ya hovyo kama WHU
Hizi ni kauli za kabla na baada ya mechi za mashabiki wa hii timu. Nasubiri mechi nije nione huu unafiki tena
Man City kwangu hawezi nifunga
Wala siifikirii mechi hiyo
Hapa nafikiria wachezaji wangu mechi za kimataifa kama watarudi bila majeruhi
 
Hivi Fabinho mlimnunua kama back up au haja-fit kwenye mfumo ndo maana amekuwa back up?

Kuna Mfalme Muabudiwa Wa Mji Wa Liverpool anaitwa Jordan Henderson ambaye Wenyewe Scousers Hawataki Acheze Mchezaji Yoyote Mbele Yake Yeye.
 
Huu unafiki ni wa kwenu kwa sababu wenzako ndio wamesema timu ni mbovu lakini mlipokuwa mnashinda 4 eti timu imekamilika.

Nakuomba Uziquote hizo Posts Za Washabiki Wa Liverpool Waliosema Timu Yetu Ni Mbovu Baada Ya Mechi Ya Jana then Unitag ili niweze Kukithibitisha hicho Unachokidai/Munachokidai.
 
Jamani mbona mnatusakama na Liverpool yetu, tumewalia vyenu. Kwanza kwangu naona Liver imejitahidi sana kwa mchezo waliocheza ule ilikuwa ya kufungwa zaidi ya 3
 
Mimi Nimejiridhisha Kabisa Kwa 100% Kuwa Timu yetu ipo vizuri sana! Ila Ni Matatizo Yanayotatulika Ya Kiufundi tu Ndiyo Yanayotupa Changamoto ambayo Ni:-

1.) Upangaji Wa Kikosi Kwa Baadhi Ya Mechi. (Linarekebishika Klopp akiamua)
2.) Kuchelewa Kufanya Subs Kwani Sub ya dakika 87 au Zaidi Ni Vigumu Kuleta Mabadiliko. (Linarekebishika Klopp akiamua)
3.) Kuingiza na Kutoa Mtu asiyekuwa Sahihi Wakati Wa Kufanya Sub. (Linarekebishika Klopp akiamua)
4.) Kujenga imani mpaka Leo Kuwa Front three yetu Ni tishio wakati Ukweli usiofichika Ni Kwamba sasahivi Fab3 yetu Ni Toothless Tiger. (Linarekebishika)
5) Kumuachia Mo Salah acheze Kwa Dakika Zote 90 wakati inaonekana Wazi Kuwa Msimu huu Ni Msimu mbaya Kwake. (Linarekebishika Klopp Akiamua).


My Take: Mechi na Man City Guardiola ndiye anayejua Liverpool Wanakuaje Wakikutana Na Top 6 Hata Kama Liverpool itakuwa Katika Kipindi Kigumu.
Kwahiyo Man City asije akayawaza ya Napoli Kuwa Ndiyo atayapata na Yeye.
Ajiandae Kisaikolojia.
 
We have enough depth ya kuwa replace baadae ya wachezaji ambao wameshindwa ku perform Sometime Klopp anatakiwa kubadilika Sometime Klopp need to wake up
 
Hizi ni kauli za kabla na baada ya mechi za mashabiki wa hii timu. Nasubiri mechi nije nione huu unafiki tena
Kuichukia Liverpool hii utapata sana taabu na utakonda!
Sasa kama unaiona Liverpool ni mbaya kwa kufungwa na Napoli lkn huioni Man City mbaya iliyofungwa na trash Lyon kwake?
Man City hawezi nifunga Anfield,forget about that
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom