Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Hahaha, jamaa unampenda sana kocha wako. Ila ndo anakuumiza sasa.
Kocha lazima apewe muda mkuu ile timu waliiharibu toka 2013 alipostaafu alex sasa ukifukuza saiv unategemea nn kuna watu wanakwambia zidane angalia kushoto marcelo kulia dan kati ramos na varane kwa uchache tu pata picha
 
The unbeaten SG8
Steven Gerrard as Rangers FC manager:
12 Matches
6 Wins
6 Draws
0 Defeats
18 Goals Scored
8 Goals Conceded
Unbeaten in SPFL.
Qualified for Europa League Group Stage.
What. A. Start.
it's early doors yes...but our legend looks a real deal as a manager.

miaka 5 ijayo baada ya Klopp kutuletea 3 EPL & 1 UCL trophies, SG8 aje achukue mikoba yake na kui "Zinedine Zidane" UCL!!
 
Kocha lazima apewe muda mkuu ile timu waliiharibu toka 2013 alipostaafu alex sasa ukifukuza saiv unategemea nn kuna watu wanakwambia zidane angalia kushoto marcelo kulia dan kati ramos na varane kwa uchache tu pata picha

Nakuelewa mkuu, issue kubwa inayo affect team ni vile Mou anafanyaga kama one man show, ikishinda ni timu yake, ikifungwa ana single out wachezaji.

Mimi kiukweli Mou wa sasa naona yuko so frustrated na kigezo kwamba kuna watu wako juu yake kimaamuzi, hawampi anachokitaka, na huu msuguano hautaisha.

Ila pia sioni kama Zidane ni Kocha Mzuri kwa build up ya timu.
 
1535794155085.jpeg


Mnamkumbuka huyu mdomo mrefu?
Maneno meengiii lakini vitendo zero!
Ama kweli tuliishiwa sana miaka ile.
 
Kacheza kama striker pale Anfield from 2002-2005, 55 appearances, and scored only 3 goals!!!!!

Namkumbuka sana, chenga nyingi zisizo na akili, nidhamu mbovu.

We had so much expectations in him, especially after what they did at the WC (Senegal).

Lakini aliflop big time.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom