Mpaka Sasa Ninaifikiria Kauli Ya VVD aliyosema "Mchezaji Yeyote (Wa Liverpool) asiyekubaliana na Na Mfumo wa Rotation na Kufanyiwa Sub aondoke Liverpool"...
Hivi Mchezaji aliyekuja Juzi tu Liverpool anapata wapi ujasiri Wa Kusema Maneno Hayo Mbele ya Wachezaji Waandamizi??
Coz Kuna Mignolet, Clyne, Moreno, Clyne, Lovren, Henderson, Lallana, Sturridge na Origi ambao ni Wachezaji Wakongwe wasiokuwa na Uhakika wa Namba yani Ataingia Sub au Akianza atatolewa Kwa Sab.
Then anatokea VVD wa juzi tu anatembeza Mkwala! 😀😀😀
Nadhani Hii Ni dalili ya Wazi Kuwa Huyu Jamaa Ameshaanza Kukabidhiwa Majukumu ya Ucaptain manake si Kwa Mkwala huu.