Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

yep.... ilikuwa mechi nzuri sana. hata tungeshindwa ningesema hivi hivi.
nikiri tu kuwa Chelsea wapo vizuri - si timu ya kubeza hata kidogo.

that's why kwangu mimi no complaints kuhusu results. tumetoa draw nyumbani kwa timu ambayo 75% ya kikosi wamebeba EPL 2 ndani ya miaka 4 iliyopita.

but ile frontline yetu Klopp anahitajika kuipiga msasa wa chuma chakavu. ukimuondoa Bobby ambaye hayupo vibaya sana, Mane & Mo are playing like a bunch of strangers to each another.

bring on the Naples on Wednesday!!
Wewe unampenda Bobby
 
What does that signify?

Last Season:
Liverpool 4 - 3 Man City
Liverpool 3 - 0 Man City
Man City 1 - 2 Liverpool


Mechi Zote Hizo huyo the so called Zeruzeru Alikuwemo!

Jifunze Mpira ndugu.
Ilikuwa ivi....!!

Man city 5 vs 0 Liverpool
Liverpool 4 vs 3 Man city
Liverpool 3 vs 0 Man city
Man city 1 vs 2 Liverpool

Tunza kumbukumbu
 
Birthday Boys
IMG-20181002-WA0005.jpg
 
Ilikuwa ivi....!!

Man city 5 vs 0 Liverpool
Liverpool 4 vs 3 Man city
Liverpool 3 vs 0 Man city
Man city 1 vs 2 Liverpool

Tunza kumbukumbu

Kumbukumbu Ninazo lakini Sio Concept ya Comment yangu Katika hicho ulichoniQuote wewe!

Rejea Comment ya NiliyemQuote.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom