Don Clericuzio
JF-Expert Member
- Dec 8, 2017
- 16,930
- 40,585
Brother Sasahivi Tumeshacheza Seven Games EPL and One game UCL lakini Mpaka sasa No sing of change at all katika Forward Line Yetu (Muexclude Firmino)... Nahisi Huu Ni Wakati Sasa Wa Klopp Kutafuta New Face katika attacking Kutoa Challenge.
Kuna muda nimehisi hik i kikosi kilichomaliza game kipate games kadhaa za kuanza EPL tuone itavyokuwa.
Yaani Salah akae benchi nafasi ya Shaqir, Mane anaweza kubaki ila wapishane na Sturridge, Firmino acheze 10 Sturridge awe 9.
Keita anastahili kuwa regular player.