OllaChuga Oc
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 21,932
- 25,245
Heshima lazima ijengeke...Huu ndiyo Ulimbukeni Wa Washabiki Wa Chelsea! Mambo Yakiwaendea Kombo Huwaoni hapa.
Yani hii suluhu ya tundu la sindano imekupa kiburi.
Heshima lazima ijengeke...Huu ndiyo Ulimbukeni Wa Washabiki Wa Chelsea! Mambo Yakiwaendea Kombo Huwaoni hapa.
Si ndio mkuu hawa leo wamepata ka haueni kidogo.Ni sawa na hazard nae Kawa vizuri hizi gemu mbili
Hahaha nilijua tu utaanza hizi tambo zako.Mmeshinda
Sare na Liverpool hii ni sawa tu kama mmeshinda!
Ingieni mitaani kushangilia ushindi wenu
Wewe ndiyo uingie mitaani ushangilie kwa sare ya bao moja kwa mojaChelsea WAMESHINDA!
Sare kwa Liverpool hii Darajani ni sawa tu mmeshinda
Ingieni mitaani kushangilia ushindi wenu
acha madharau team yenyewe haujawai kuiona ikibeba ubingwa wa ligi kuu live ,ubingwa wako umeushuhudia you tubeMmeshinda
Sare na Liverpool hii ni sawa tu kama mmeshinda!
Ingieni mitaani kushangilia ushindi wenu
Sarriball ya nyokoHapa liver Fans wengi mlikuwa kwenye hali mbaya sana hahaha hili halina ubishi.
Wengine mlibana "makaghari" mkiomba suluhu tu.
Hatimaye mmepata..
Msiwe mnaropoka ropoka ovyo.


Mmefurahi kupata sareNyie jamaa inabidi leo hizi kelele tuzizime.
Huoni aibu????Sarriball ya nyoko![]()
Huwa haionekani ila unaihisiHuoni aibu????
Badala ya "kuongea" "unaropoka"Huwa haionekani ila unaihisi
Sarriball ya Nyoko!!!
Kijana povu la nini. Umebahatika kupata point moja shukuru Mungu basi jamaaMmepata ujasiri wa kujitokeza baada ya suluhu.
Klopp bila aibu ameshindwa kutamba mbele ya Sarri wakati yeye ana uzoefu na EPL.