bigmind
JF-Expert Member
- Oct 28, 2015
- 12,457
- 12,705
Una roho ngumu km paka wewe bado hujaona tunavyowatawanya..Kaka hata Mbappe alifunga lkn walikaa!
Una roho ngumu km paka wewe bado hujaona tunavyowatawanya..Kaka hata Mbappe alifunga lkn walikaa!
Hahaha Apo ulikuwa ushashikwa na tumbo la kuhara mshukuru sturridge amekuwa na wakati mzuri kwa Chelsea kwa gemu hizi mbili.Tutunze maneno yetu jamani!
Hatupotezi hii mechi
Ni sawa na hazard nae Kawa vizuri hizi gemu mbiliHahaha Apo ulikuwa ushashikwa na tumbo la kuhara mshukuru sturridge amekuwa na wakati mzuri kwa Chelsea kwa gemu hizi mbili.
Kwa Leo hakuna anayemtambia mwenzake. Ngoma droo ila imeponea chupu chupu.Tutunze maneno yetu jamani!
Hatupotezi hii mechi
MmeshindaHahaha Apo ulikuwa ushashikwa na tumbo la kuhara mshukuru sturridge amekuwa na wakati mzuri kwa Chelsea kwa gemu hizi mbili.