Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Klopp anajua shughuli ilivyo nzito hasa. Hapo hatanii kabisa.

Willian, Hazard, Kante hawa watu wanakimbia vibaya sn. Alafu Covacic na Jorginho hawa wanamiliki mpira vibaya sn na mmoja hapo anatoa pass ni balaa.
Mkata UMEME Milner kawanyamazisha akina Rabiot ndiyo awe hawa wasio na skills hata moja?
Kamampira kukimbia kwa nn msimsajili Usain Bolt wa Jamaica?
 
Jürgen Klopp: “German newspapers said that I had an argument with Shaqiri on the pitch, I didn’t. To make it clear, I didn’t. He was the first one who was involved who I met, and it was after the free-kick that we had where I wanted to do it differently. It was only about that.”
 
Wakuu jana nilipitia mapango ya babu Lushoto leo nipo Arusha, mzimu wa babu haujawahi kuniangusha, Leo majogoo yanamsarandia Chelsick ndani ya 45minutes, wale washenzi watatu (Firmino, Mane na Salah) watakuwa na magoli manne plus, leo Anfield watagawa vicheko kona zote za dunia, tukutane milestone Arusha baadae
 
points zetu 3,tunachukua toka kwa hawa madogo wa chelsea leo. ni mwendo wa ushindi tu leo
 
Kombe la MBUZI
Leo ni EPL jomba,Liverpool hawezi fungwa na team CB Luiz na Rudiger
Aubemayang alikosa bao kibao za kugusa tu ambazo hawa akina Salah wanafunga zile
3-1 easy win
Kwa hiyo unataka kusema EPL kwenu ndio muhimu
Kwani kukosa magoli si kitu cha kawaida usije ukamlaumu mane firmino na salah kwa kukosa magoli
 
Mkata UMEME Milner kawanyamazisha akina Rabiot ndiyo awe hawa wasio na skills hata moja?
Kamampira kukimbia kwa nn msimsajili Usain Bolt wa Jamaica?
Hayo maneno mwambie kocha wako Klopp anaelialia watu wanakimbia km gari za Formula One


 
IMG_20180929_040628_930.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom