Sikuwa na lengo ovu.
Nilitaka tu kuona, kubashiri, mtajipangaje...like your best XI.
Sisi timu Yetu Kabla ya Season Hii Tulikuwa Tukitegemea Sana Ushambuliaji (From Mane-Firmino-Coutinho to Salah-Firmino-Mane) na Ndiyomana Tulikuwa Tunagunga Magoli 60 lakini Tunaconcede 45.... Lakini Msimu Huu Tunategemea Kipa na Mabeki Zaidi (TAA-GOMEZ-VVD-ROBBO) katika Kushinda Game that is why Tunashinda Magoli Kidogo na Tunaconcede Kidogo.
Jana Ukitoa Hile Set-Piece ambayo Mchezaji yoyote anaweza kufunga kulingana na Uzembe Wa Mabeki, Basi Goli la Ushindi Kama Ulivyoona Halikuwa Na Assist Bali Zilikuwa Ni Jitihada Za Hazard Binafsi kutokana Na Class Yake.
Na Ndiyomana Ukiniuliza Mimi au Mtu Mwengine Yoyote anaejua Mpira Basi Atakwambia Chelsea Haikuwa na Mchezaji Tishio Mpaka Pale alipoingia Hazard ambaye Uwezo Wake Uliwashinda Mabeki Wetu na Akawa Tishio.
Lakini Katika EPL pale tutakapokuwa Na Safu Kamili ya Ulinzi Basi Ni Rahisi Kudeal Na Mshambuliaji Mmoja Hazard asiweze Kuleta Madhara.
MANTIKI YA HII POST YANGU
√ Nimetaja Kuwa Tunadeal na Mshambuliaji mmoja Kwasababu Giroud/Morata na Willian Hata Nyinyi Wenyewe Munajua Kuwa Hawa Ni Wachezaji Wa Kawaida tu Haihitajiki Nguvu Nyingi Kuwakaba..
Note: Sijasema Kuwa Hawawezi Kufunga manake Kuna Misukule hapa imekalia umbumbumbu tu.
√ Johinho na Kante Ni Wachezaji Wazuri kuliko Mido Zetu lakini Kwenye Ushambuliaji hawana effect kubwa Kwasababu so Washambuliaji.
Kwahiyo Asilimia 90% ya Ushindi Wa Mechi za Chelsea EPL Ni Kwajuhudi Binafsi Za Hazard ambapo Timu itakayofanikiwa Kumzuia ndiyo inayofanikiwa Kuizia Chelsea isishinde Kama alivyofanikiwa Pellegrini Wa West Ham.
Na Hata Jana Chelsea Haikuwa na Mbinu tena ya Kupata goli la Ushindi Bali Hazard alitumia Jitihada binafsi.
So, Natumai Defence Yetu pamoja Na Kocha imeliona Hilo na italifanyia Kazi.