SarriballSaturday will be different
Kwan chelsea walikua wana wachezaji wangp watakaoanz jmosJamani msiwe na wasiwasi
Wachezaji walio anza leo ni wawili tu ama watatu ndiyo wataanza Jumamosi
Liverpool hafungwi na Chelsea EPL
Msiwe na wasi wasi,hata jana Dan alikuwa anaimaliza ile mechi mapema kabisa
Ss mbna visingizio vingi au loosepool ndo haijafungwaNajua kikosi cha kwanza cha Liverpool
Kinachonishangaza humu ndani wengi wenu bila kujalisha umri hamjawai kushuhudia Liverpool akichukua epl 5 ukizingatia miaka 80's Tanzania yetu hata TV hazikufika 50 nchi nzima, mshabiki wa chelsea 2004 hadi sasa anayo furaha kuliko mshabiki wa liver Tanzania kuanzia mwaka 1977 ,acheni mbwembwe wakati ubingwa wa liver umeuona you tube, mfano king Ngwaba niambie umeshuhudia epl ngapi liver akichukua kwa umri wako,tuache epl je makombe unayoyaita Mickey Mouse cup umeshuhudia mangapi liver kachukua ,Landa niwapongeze kufurahi na mafanikio ya Liverpool You tube. Ruksa kutoa povuJamani Musiwe Munapost tu Bali Jifunzeni Mpira.
Matokeo na Mechi Ya Jana Has nothing to do Kwenye Premiere League.
Tambua Kuwa Jana Chelsea ndiye aliyeamua Ushiriki Wa Liverpool Kwenye Mickey Mouse Cup, Lakini Kwenye EPL Chelsea siye atakaeamua hatma ya Liverpool.
Mkipigwa msije mkasema kipaumbele chenu ni UEFAthat Sturridge miss!
that Mignolet error for the first goal!
...what might have been.
anyways, Saturday someone is going to seriously suffer!
Kwa Kiswahili hapa ndiyo umesema nini mkuu.My whole heartily congratulation for winning a tittle goes by a name, " Defeating Liverpool at Anfield in 2018"
"In this season, we want everything" by Van Dijik
Saturday will be different
Kinachonishangaza humu ndani wengi wenu bila kujalisha umri hamjawai kushuhudia Liverpool akichukua epl 5 ukizingatia miaka 80's Tanzania yetu hata TV hazikufika 50 nchi nzima, mshabiki wa chelsea 2004 hadi sasa anayo furaha kuliko mshabiki wa liver Tanzania kuanzia mwaka 1977 ,acheni mbwembwe wakati ubingwa wa liver umeuona you tube, mfano king Ngwaba niambie umeshuhudia epl ngapi liver akichukua kwa umri wako,tuache epl je makombe unayoyaita Mickey Mouse cup umeshuhudia mangapi liver kachukua ,Landa niwapongeze kufurahi na mafanikio ya Liverpool You tube. Ruksa kutoa povu
Jana Azpilicueta alicheza hovyo kuliko siku nyingine yoyote na bado walishindwa kutufunga.
Christensen ndo alizidiwa kabisa nguvu na Shaqiri ila bado hawakuweza kuambulia chochote.
Halafu hiyo timu inajipa moyo tukikutana Jumamosi itatufunga. If you didn't win at our lowest, do not expect anything at our best.
#CFC #KTBFFH
Mkuu we acha tu. Yaani watu wanapoona hawana uwezo wa kupata vitu vya msingi (trophies) wanapenda kujivunia virekodi vidogo vidogoKwa Kiswahili hapa ndiyo umesema nini mkuu.
Leo zimecheza team B
Hamna lolote la maana
Jumamosi ni vikosi kamili vya team hiz na sioni popote kama Liverpool atafungwa,sijaona
Leo tutawakoma aisee, ila ndo mchezo ulivyo, kwenye sports kuna kitu tunaita "Living the moment", jana ilikuwa our bad moment.
It's my hope that we will regroup and come up strong in our next game, though it hurts to lose on our floor, with our supporters.
We are Liverpool, YNWA.
PipeHata kabla mechi hii haijaanza mlisema vivyo hivyo.