Antonio Conte
JF-Expert Member
- Dec 6, 2017
- 1,089
- 1,748
Sasa jumamosi Yule vvd mtamuonea huruma.Mashabiki wa Chelsea ni mazwazwa wanadhani ile pindua pindua ya Hazard ya jana aliyekuwa anawafanyia wale mazuzu Ijumamosi itajirudia tena Never
Sasa jumamosi Yule vvd mtamuonea huruma.Mashabiki wa Chelsea ni mazwazwa wanadhani ile pindua pindua ya Hazard ya jana aliyekuwa anawafanyia wale mazuzu Ijumamosi itajirudia tena Never
Ha ha ha ha ha ntakufata huko huko na ban yakoYani Kututoa Kwenye Mickey Mouse Cup tu jeuri kiasi Hichi!!! Jumamosi Wakitufunga Upo Umuhimu Wa Mimi Kujipiga Ban Wiki Nzima.
Tukutane IjumamosiHahahah Keita na Firmino si watakuwepo mkuu???!
Tukutane Ijumamosi MkuuSasa jumamosi Yule vvd mtamuonea huruma.
Umechambua vzr sn lkn kuna kitu kimoja ambacho Pellegrin alikifanya dhidi Ya Chelsea ambacho wewe haujakigusia kabisa.Sisi timu Yetu Kabla ya Season Hii Tulikuwa Tukitegemea Sana Ushambuliaji (From Mane-Firmino-Coutinho to Salah-Firmino-Mane) na Ndiyomana Tulikuwa Tunagunga Magoli 60 lakini Tunaconcede 45.... Lakini Msimu Huu Tunategemea Kipa na Mabeki Zaidi (TAA-GOMEZ-VVD-ROBBO) katika Kushinda Game that is why Tunashinda Magoli Kidogo na Tunaconcede Kidogo.
Jana Ukitoa Hile Set-Piece ambayo Mchezaji yoyote anaweza kufunga kulingana na Uzembe Wa Mabeki, Basi Goli la Ushindi Kama Ulivyoona Halikuwa Na Assist Bali Zilikuwa Ni Jitihada Za Hazard Binafsi kutokana Na Class Yake.
Na Ndiyomana Ukiniuliza Mimi au Mtu Mwengine Yoyote anaejua Mpira Basi Atakwambia Chelsea Haikuwa na Mchezaji Tishio Mpaka Pale alipoingia Hazard ambaye Uwezo Wake Uliwashinda Mabeki Wetu na Akawa Tishio.
Lakini Katika EPL pale tutakapokuwa Na Safu Kamili ya Ulinzi Basi Ni Rahisi Kudeal Na Mshambuliaji Mmoja Hazard asiweze Kuleta Madhara.
MANTIKI YA HII POST YANGU
√ Nimetaja Kuwa Tunadeal na Mshambuliaji mmoja Kwasababu Giroud/Morata na Willian Hata Nyinyi Wenyewe Munajua Kuwa Hawa Ni Wachezaji Wa Kawaida tu Haihitajiki Nguvu Nyingi Kuwakaba..
Note: Sijasema Kuwa Hawawezi Kufunga manake Kuna Misukule hapa imekalia umbumbumbu tu.
√ Johinho na Kante Ni Wachezaji Wazuri kuliko Mido Zetu lakini Kwenye Ushambuliaji hawana effect kubwa Kwasababu so Washambuliaji.
Kwahiyo Asilimia 90% ya Ushindi Wa Mechi za Chelsea EPL Ni Kwajuhudi Binafsi Za Hazard ambapo Timu itakayofanikiwa Kumzuia ndiyo inayofanikiwa Kuizia Chelsea isishinde Kama alivyofanikiwa Pellegrini Wa West Ham.
Na Hata Jana Chelsea Haikuwa na Mbinu tena ya Kupata goli la Ushindi Bali Hazard alitumia Jitihada binafsi.
So, Natumai Defence Yetu pamoja Na Kocha imeliona Hilo na italifanyia Kazi.
Klopp amemkasirikia Shaqiri na sio Mignolet, ni dhahiri aliyeenda tofauti na mwalimu ni Shaqiri mchezaji aliyesajiliwa kwa mbembwe nyingi huku wengine tukikosa usingiuzi kwa ajili ya makelele ya Klopp
Cc: Malafyale King Ngwaba
Kisa beki gani sasaMashabiki wa Chelsea ni mazwazwa wanadhani ile pindua pindua ya Hazard ya jana aliyekuwa anawafanyia wale mazuzu Ijumamosi itajirudia tena Never
Liverpool hata haina priority msimu Huu sio Carabao tu hata matumaini ya kutwaa FA au EPL hayapo kabisa kwa Liverpoolila mkumbuke kila team ina priority yake!
Carabao was not our priority!
kilichoniuma Jana ni Liverpool kufungwa nyumbani kwa Mara ya kwanza tokea mwaka huu uanze
"Sizitaki mbichi hizi"Washabiki Wa Chelsea Wamejenga Kambi Hapa Kwa Kututoa Kwenye Mickey Mouse Cup lakini wkumbuke Kuwa their happiness will survive Kwa short period of time. Coz at the Weekend no one know what will happen!!!
Ni mashabiki wachache Kama wew wenye uelewa wa Mpira. Upo tofauti na rafiki yako malafyale.Mimi Ni Mmoja Wa Fan Wakubwa Sana Wa Hazard na Jana Aliyekuwa Hajaamini Kuwa Hazard Ni Mmoja Wa Top Four Ya Best Player in The World (Messi, Ronaldo, Neymar Na Hazard) basi Huyo Si Mpenzi Wa Soccer Bali Ni Mshabiki Wa Chandimu.
Na nilimuona Zaidi Kuwa Ni World Class pale Alipousoma Mchezo Ndani Ya Dakika 5 Kuwa Upande Wa Kulia alipo Clyne Ni Tatizo Wakati yeye anacheza Wing ya Kushoto.. Kwahiyo Fast Kaswitch Kulia Baada Ya Kuona Upande Wa Kushoto Wa Liverpool Ni Uchochoro ambao Moses Kashindwa Kuutumia.
Kwahiyo Alienda Upande Wa Wing ya Kulia Kambirua Moreno Kafunga Goli baadae Karudi Kushoto Kupotezea Muda.
Sasa Ni World Class tu Ndiyo Kwenye Akili Kama Hizo za Kusoma Mchezo na Kuangalia Weakness ya Mpinzani ikoje.
Xhaqiri anadrible Vizuri lakini anakosea Kwenye Decision Making Pale Kwenye How and When to pass the ball kwa his teammate.
Ila kumfokea mchezaji kwenye public ni afadhali kwenye press conference. Unajua media pote duniani wameelezeaje hilo tukio, vibaya sana. Je unajua kama Shaqiri anapenda hiyo attack ambayo itamshushia hadhi yake kwenye career yake na dhamani yake kama mchezaji? Je unajua negative multiply effect yake kwenye synergy ya team?. Usimsifie Klopp, pamona na uzuri wake, juzi kaboa• Pale Klopp Huwezi Kumlaumu Kwa Lile Kwasababu Kama Kocha Kila Mmoja Anareact Kwa Style Yake.. Sasa Klopp Ukimuangalia Anaposimama Uwanjani Kama Kocha Basi Ndani Ya Dakika 90 zote anakuwa Ana hasira sana Mchezaji anapofanya Kurudia Makosa ambayo Kila Siku anawarekebisha.
Lakini Baadae Hasira Huondoka Na Kuwapongeza Hao Wachezaji anaowafokea na Kuwa Marafiki.
Na Hiyo Ni Kawaida Kwa Makocha Wengi.
Angelikuwa anafanya Kama Mourinho Kuwatupia Wachezaji Lawama Mbele ya Media (Press Conference) Basi hapo Ndiyo ningemlaumu Kwasababu sio sifa ya Mwalimu.
Lakini Klopp Kwenye Media (Conference) hupenda Kuwasifia na Kuwapongeza Wachezaji Hata Kama Walifanya Makosa ya Wazi Kwenye Mchezo.
We hayo mafanikio ya timu yako si umeyaonea youtube utafananisha na mimj niliyeshuhudia at the moment.?Acheni kujibishana na washabiki wa kijitimu kidogo kama chelsea, level ya LIVERPOOL ni REAL MADRID, MAN U,JUVENTUS,BARCELONA .hivi vichelsea wachieni leicester na notengham forest ndio wanalingana mafanikio yao.

Nakujibu kama ifuatavyo.Sisi timu Yetu Kabla ya Season Hii Tulikuwa Tukitegemea Sana Ushambuliaji (From Mane-Firmino-Coutinho to Salah-Firmino-Mane) na Ndiyomana Tulikuwa Tunagunga Magoli 60 lakini Tunaconcede 45.... Lakini Msimu Huu Tunategemea Kipa na Mabeki Zaidi (TAA-GOMEZ-VVD-ROBBO) katika Kushinda Game that is why Tunashinda Magoli Kidogo na Tunaconcede Kidogo.
Jana Ukitoa Hile Set-Piece ambayo Mchezaji yoyote anaweza kufunga kulingana na Uzembe Wa Mabeki, Basi Goli la Ushindi Kama Ulivyoona Halikuwa Na Assist Bali Zilikuwa Ni Jitihada Za Hazard Binafsi kutokana Na Class Yake.
Na Ndiyomana Ukiniuliza Mimi au Mtu Mwengine Yoyote anaejua Mpira Basi Atakwambia Chelsea Haikuwa na Mchezaji Tishio Mpaka Pale alipoingia Hazard ambaye Uwezo Wake Uliwashinda Mabeki Wetu na Akawa Tishio.
Lakini Katika EPL pale tutakapokuwa Na Safu Kamili ya Ulinzi Basi Ni Rahisi Kudeal Na Mshambuliaji Mmoja Hazard asiweze Kuleta Madhara.
MANTIKI YA HII POST YANGU
√ Nimetaja Kuwa Tunadeal na Mshambuliaji mmoja Kwasababu Giroud/Morata na Willian Hata Nyinyi Wenyewe Munajua Kuwa Hawa Ni Wachezaji Wa Kawaida tu Haihitajiki Nguvu Nyingi Kuwakaba..
Note: Sijasema Kuwa Hawawezi Kufunga manake Kuna Misukule hapa imekalia umbumbumbu tu.
√ Johinho na Kante Ni Wachezaji Wazuri kuliko Mido Zetu lakini Kwenye Ushambuliaji hawana effect kubwa Kwasababu so Washambuliaji.
Kwahiyo Asilimia 90% ya Ushindi Wa Mechi za Chelsea EPL Ni Kwajuhudi Binafsi Za Hazard ambapo Timu itakayofanikiwa Kumzuia ndiyo inayofanikiwa Kuizia Chelsea isishinde Kama alivyofanikiwa Pellegrini Wa West Ham.
Na Hata Jana Chelsea Haikuwa na Mbinu tena ya Kupata goli la Ushindi Bali Hazard alitumia Jitihada binafsi.
So, Natumai Defence Yetu pamoja Na Kocha imeliona Hilo na italifanyia Kazi.
Mimi nimeshajenga kibanda hapa.mtakimbia aisee sio kuweka kambi maana twaja kuodoka na pointi zetu safi kudumisha 100% rekodi ya EPL ya ushindi
Hahaaa.. Mkuu ukifanya hivyo sasa nani atatupa chellenge humu, though najua huwezi kufanya ivyo. Japo jukwaa utaliona chungu.Yani Kututoa Kwenye Mickey Mouse Cup tu jeuri kiasi Hichi!!! Jumamosi Wakitufunga Upo Umuhimu Wa Mimi Kujipiga Ban Wiki Nzima.