M-mbabe
JF-Expert Member
- Oct 29, 2009
- 13,201
- 23,030
kweli mkuu. apart from ile pasi iliyozaa goli la PSG, Salah alicheza game nzuri. 7/10 i will rate him - which is not bad.MO Salah ana umuhimu sana kila mechi coz team nzima inamchungulia yeye tu, team haiendi mbele kwa kumuogopa mtu mmoja MO Salah![]()
am a bit puzzled watu wako concerned na form ya Salah msimu huu. wamesahau kuwa hata msimu uliopita alianza kwa kusuasua hivi hivi. alikuwa ana miss sitters within the box and from even 6 yard off!
kama mmeangalia vizuri msimu huu anakuwa very tightly marked na opposition - and for obvious reasons of course.
lakini pamoja na kuwa marked hivyo bado katika 6 games amefunga 2 goals. last season wakati hakabwi sana alikuwa na 3 goals for the same number of games.
Salah will come good.... am pretty sure of that.
the beauty of it all ni kwamba we're winning difficult games this season while we're not even on the second gear.
sasa hivi tunabebwa na defensive resilience na blend nzuri ya "ujihadi" & "ufundi" pale katikati ya dimba. sasa, imagine Salah & co watakapoanza kufanya vitu vyao, nani wa kutuzuia treble ya EPL, UCL & FA?
food for thought for Gareth Southgate - nenda kampigie magoti Milner walau aisaidie England kwenye Euro. kwa sasa i can dare say Millie is the best English midfielder!
what else to say? am over the moon after last night!!